BarajaMkush
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 1,633
- 2,989
Huo mchezo ni mzuri kwa wanaobet
Unamuita huyo jini unauliza vp man u atashinda? Ikizunguka kwenye no unauliza tena man u atadroo ikizunguka kwenye no basi nenda kwenye mkeka weka man u kufungwa
Bora ufe huku unapata hela
Napenda horror movie, nitaitafuta. Ikiwa kama kuna muvi nyengine za kutisha konki nisaidie nizitafute.Hii kuna movie yake ipo netflix inaitwa hivyo hivyo OUIJA ni balaaa
Haha usiiqngalie uwiku mkuu inatisha mno... nyingine ni Sabrina, the doll na dabe6Napenda horror movie, nitaitafuta. Ikiwa kama kuna muvi nyengine za kutisha konki nisaidie nizitafute.
The dead dont dieNapenda horror movie, nitaitafuta. Ikiwa kama kuna muvi nyengine za kutisha konki nisaidie nizitafute.
Hatua niliyoifikia huwa siogopi muvi za kutisha bali nafurahia ubunifu uliyofanyika kwenye muvi. Shukrani kwa muvi! Ngoja niingie mzigoni.Haha usiiqngalie uwiku mkuu inatisha mno... nyingine ni Sabrina, the doll na dabe6
Shukrani! Ila ni kweli the dead dont die!The dead dont die
Nimecheki trailer imekaa kama ya kizombi!The dead dont die
The conjuringShukrani! Ila ni kweli the dead dont die!
👍👍👍👍The conjuring
Ouija original of evil
The possession of Hannah grace
The devil inside
The exorcism of molly
Annabelle comes home
The exorcist
Portergeist
umeshajaribu?kinachoshangaza ni vile penseli inazunguka asee
daaahHuo mchezo ni mzuri kwa wanaobet
Unamuita huyo jini unauliza vp man u atashinda? Ikizunguka kwenye no unauliza tena man u atadroo ikizunguka kwenye no basi nenda kwenye mkeka weka man u kufungwa
Bora ufe huku unapata hela
🤔🤔sio kirahisi hivyo.
Ni IMANI inayoitajika hapo.pia usisahau UNAINGIA maagano na majini
The conjuring
Ouija original of evil
The possession of Hannah grace
The devil inside
The exorcism of molly
Annabelle comes home
The exorcist
Portergeist
😅😅😅Hamna kitu hapo utoto tu .hakuna Cha majini Wala mashetani.....majini na mashetani Ni sisi binadamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo Possession of Hannah Grace ni kiboko.The conjuring
Ouija original of evil
The possession of Hannah grace
The devil inside
The exorcism of molly
Annabelle comes home
The exorcist
Portergeist
kama kawa wahuni wanazama kuichekiHiyo Possession of Hannah Grace ni kiboko.
Nadhani moja ya kitu kibaya kinachoweza kumtokea mtumiaji ni kuwa possessed na spirits especially evil onesHuu mchezo usijaribu kucheza una masharti. Ubao wa Ouija.
Miongoni mwa sheria zake.
- Usiutumie ukiwa peke yako
-Usiutumie ukiwa nyumbani mwako
-Ukimaliza kukitumia ni lazima ukiage
-Kwa kuwa kina herufi na kina kitufe cha cha ubao cha kuongozea herufi zikitembea kwa kuonyesha herufi likapatikana jina la ZOZO katisha mchezo kiage sema kwa heri.
Na mimi nimeshangaa... mambo ya 2008 hukohii challenge ndio imeanza 2021 hapa Tanzania? watu wapo nyuma sana