Charlie Chaplin

Charlie Chaplin

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
17,801
Reaction score
24,433
Comics za Charlie Chaplin zilikuwa zinachekesha sana. Kulikuwa na kamopuni ya film kutopka Uingereza iliyokuwa inaitwa Factory Films Limited ilikuwa na tawi lake Arusha na Nairobi, ilikuwa inazunguka nchi nzima kuonyesha sinema hizo. Nilizona mara ya mwisho nadhani mwaka 1971 ningali mdogo. Hiz ngumi alozkwepa angepigwa moja tu kichwa chote kingebondeka


View: https://www.youtube.com/shorts/JHCJtXX_5v0
 
Back
Top Bottom