Charles William wa wasafi fm anafaa kuwa DC

Kikawaida kila mwananchi raia wa tanzania bara mwenye utimamu wa akili ana sifa ya kuwa DC.

So usi point mtu wa mbali maana hata mm niko na sifa tena nimepitiliza
 
Habari wakuu

Aisee huyu kijana namfuatiliaga sana kwenye kipind cha goodmorning wasafi fm ,yupo smart sana hasa mambo ya siasa ,anaijua siasa vilivyo ..

Anajua kuongea na kupangua hoja bila kubabaika ,namkubali sana ,nilitamani kumuona kwenye teuzi ,aisee huwa natamani sana afike mbali huyu jamaa ,yupo smart sana ..

Uzi tayarView attachment 1824045
Absolutely,nilikua anawaza muda mrefu sana
 
Habari wakuu

Aisee huyu kijana namfuatiliaga sana kwenye kipind cha goodmorning wasafi fm ,yupo smart sana hasa mambo ya siasa ,anaijua siasa vilivyo ..

Anajua kuongea na kupangua hoja bila kubabaika ,namkubali sana ,nilitamani kumuona kwenye teuzi ,aisee huwa natamani sana afike mbali huyu jamaa ,yupo smart sana ..

Uzi tayarView attachment 1824045
Mshaanza basi na
Shabani Kisu
Yvone Kamuntu
Masood Kipanya
 
Ni kweli jamaa ni smart Sana ..namfatilia toka akiwa EA radio..
Ni mtu makini kuliko wachambuzi wote wa masuala ya kisiasa na kijamii
 
TANZANIA ndio nchi pekee mtu anapewa sifa kwa kujua kuongea na sio kufanya jambo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom