Charles Quansah na kesi ya mauaji ya kutisha

Kisa hiki kinaumiza sana, ni utata mtupu, hakuna mwanga wa kilichotokea hasa. Kufour alishaondoka Atta Mills hajamuachia CQ, nadhani kuna mambo mengi yamejificha kuhusiana na kesi hii.
 
Lakini kilichoishangaza idara ya upelelezi ya nchi hiyo ni namna mauaji yalivyokuwa yakifanyika, kwani miili ya wanawake wote waliouawa ilikutwa ikiwa imelazwa chali upenuni mwa barabara huku ikiwa imepanuliwa miguu na pia ikiwa na mchanganyiko wa damu na mbegu za kiume katika sehemu zao za siri, kuashiria kuwa mhanga alikuwa amebakwa kabla ya kuuawa.

@Mtambuzi, kama kulikua na damu na shahawa kwenye miili ya wanawake wote waliouawa, kwa nini havikuchunguzwa (kama vina uhusiano na mtuhumiwa)
 
naona kama ada mkuu umetuletea kesi muhimu sana inaonyesha jinsi gani wanasiasa wanaweza fanya lolote ili kupata kura na kuficha uovu (mfano kama ile plot ya kifo cha balali).

Hawa jamaa wanauchaguzi tena mwaka huu ngoja tuone kama Mills (NDC) atachaguliwa kwa mara ya pili, upinzani wa NPP ni mkali sana.
 
@Mtambuzi, kama kulikua na damu na shahawa kwenye miili ya wanawake wote waliouawa, kwa nini havikuchunguzwa (kama vina uhusiano na mtuhumiwa)

Nadhani walikuwa wanabakwa na group la mapolice so inakuwa ngumu kumuhusisha mtu mmoja.
 
Back
Top Bottom