Simu yangu inaniletea charge warning kila nikiwa naichaji
Nimachange charger system Ila bado inanisumbua
Ni Azumi V5+ ya voda naambiwa mpaka charger ya Azumi ipatikane ndo itaacha kusumbua.
Msaada nifanyaje au nitapata wapi charger ya Azumi
Hizo si simu za Voda? Ina maana hawana accessory zake hao Voda?Simu yangu inaniletea charge warning kila nikiwa naichaji