Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,573
- 139,979
Tangiapo hizi imani ni hazina msingi!.Ila sometimes viongozi wetu wa kiimani wanajishughulisha na mambo yasiyo na msingi
Huyu Mzee ni mwanachama mwenzetu na yawezekana ni mmoja ya viongozi wastaafu wa kitaifa😀View attachment 3546214
CHAPUTA wameonywa kuacha mara moja tabia hiyo katika mwezi mtukufu kwani itakuwa sawa na kushinda njaa.
Tuwaombe viongozi wao wa kitaifa na kimikoa kufikisha taarifa hizo kwa wanachama wao
Apia..!Tangiapo hizi imani ni hazina msingi!.
unafahamu ukweli.Apia..!
Na manjesta tuna kunya kweli😃Get my club name out your fckng mouth
Kwanini usitaje Arsenal? Au kwasababu tuna Kunya?
Get my club's name out your fckng mouth.
Kwanini usitaje Arsenal? Au kwasababu tuna Kunya?
Mimi ni Mkristo na ninafahamu ukristo una misingi yake kama zilivyo dini zingineunafahamu ukweli.
Sijahoji wewe ni dini gani ila imani ni uongo wa aibu katika karne hii!. labda kama utahitaji mjadala wakupoteza muda tu kwa kitu ambacho hata wewe unafahamu hilo ni vile tu uamue kukaza shingo!.Mimi ni Mkristo na ninafahamu ukristo una misingi yake kama zilivyo dini zingine
Sasa kwani mimi ni Arsenal?View attachment 3546224
check pep anavyokupumilia hapo nyuma
hio ni special kwa madogo wa aseno.Sasa kwani mimi ni Arsenal?
Wivu tuu 😂