Chaputa official!

Chaputa official!

Chadema 2030

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,913
Reaction score
3,738
timu ya mamasta tunaopiga kazi nikujisevia tu.timu bora hapa Tz ni sis hamna wengine

kama unabisha dhibitisha hapo chini.........??
 
naona umeshapata morning glory yako mujarabu kabisa kupitia Rihanna
 
917.jpg
 
Kwa muda mrefu nimekuwa member wa chaputa toka 2017

Nisingependa niingie ndani sana ila ninachoweza kusema

Kijana kama una uwezo wa kuacha na nafasi ya kuacha ipo basi usijifikirie mara mbili acha mara moja
 
Mapenzi yamekuwa very expensive ndio maana vijana wanaamua chaputa
 
Back
Top Bottom