Chapa ya Made in Tanzania kuanza kutumika

Chapa ya Made in Tanzania kuanza kutumika

Naona nikujibu kwa kile ambacho kipo ndani ya uelewa wangu. Nembo zote 3 zimebuniwa na watu 3 tofauti. Nembo A mbunifu ni mimi... niko Dodoma. Nembo B... mbunifu yuko Dar. Nembo C... mbunifu yuko UDOM. Font (maandishi) waliyobandikwa ktk nembo zote 3 ni ubunifu wangu mimi. Nembo B na nembo C waliSubmit originals zao zikiwa font walizozibuni wenyewe lakini naona watayarishaji walizotoa na wakaona ni vyema kutumia font niliyoibuni mimi kwa hizo nembo zote 3.
Hilo ndio jibu sahihi kuhusiana na hilo. Hayo mengine siyajui bro.
Kama waliweza kupick font zako bila kupigiwa kura same way wangeweza tu kupick logo yako juu kwa juu, mbona mnachoshana sana.
 
Wangetoa shindano--watu binafsi wabuni nembo--atakayeshinda apewe zawadi(pesa).
Tungepata mawazo bora zaidi.na kitu kizuri zaidi.
Ova!
 
Nmekupigia mzee kupitia sm yangu na wife na washkaj zangu wa5
Dua hii njema iwafikie wale wote waliojaaliwa kupiga kura na kuchagua A. Na wote watakaojaaliwa kunipigia.

Kina Dkisaka Evelyn Salt Ginner sheremaya fundi bishoo dosho12 Shadow7 Mamndenyi Medecin Njemba Soro. ndugu mteja wizodg na wengine wote.
‎
‎Mola Muumba awajaalie afya njema wao na familia zao, umri mrefu pamoja na makuzi mema ya watoto wao.

Aidha dua ifuatayo iwafikie wale wote watakaoShare:

Mola Muumba awajaalie mali yenye manufaa na furaha tele maishani.

Mbarikiwe sana. One Love.
‎
 
Taarifa hiyo imetolewa jana Juni 11, 2025 na Meneja wa Uhusiano kwa Umma na masoko wa Tan Trade Lucy Mbogoro jijini Dar es Salaam akiwahimiza wananchi kuchangia kwa kupiga kura kuchagua miongoni mwa alama zilizochujwa kutumika kama chapa bora ya utambulisho wa bidhaa za Tanzania
===

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imefanikisha hatua ya pili ya mchakato wa kuandaa Rajamu ya Taifa (Nation Brand Mark), alama maalumu itakayotambulisha bidhaa na huduma zinazozalishwa nchini Tanzania kwa matumizi ya ndani na usambazaji kimataifa, chini ya kaulimbiu ya “Made in Tanzania.”

Akizungumza Dar es Salaam, leo Jumatano Juni 11, 2025 Meneja Uhusiano kwa Umma na Masoko wa TanTrade, Lucy Mbogoro amesema hatua ya awali ya mchakato huo ilihusisha mwitikio mkubwa kutoka kwa wabunifu wa Kitanzania waliotuma jumla ya bunifu 88 kutoka maeneo mbalimbali ya nchi.

“Tulipokea jumla ya alama 88 kutoka kwa wabunifu mbalimbali. Baada ya tathmini ya awali, bunifu 6 zilichaguliwa kuingia hatua ya pili ya mchujo,” amesema Mbogoro.

Ameongeza kuwa wabunifu hao sita walipatiwa mafunzo na fursa ya kuboresha bunifu zao, na hatimaye alama tatu bora zimechaguliwa. Alama hizo sasa zimewekwa hadharani kwa umma kupiga kura kupitia mfumo wa mtandao, ili kuchagua alama moja itakayokuwa alama rasmi ya Taifa ya bidhaa na huduma za Tanzania.

“Tunawahimiza Watanzania wote kuchangia kwa kupiga kura ili kuchagua alama bora zaidi ile inayowakilisha vyema ubora, asili, na utambulisho wa bidhaa zetu kwenye soko la dunia,” amesisitiza Mbogoro. Mshindi wa shindano hili atatangazwa siku ya uzinduzi rasmi wa alama ya Taifa, tarehe ambayo itatangazwa hapo baadaye

chanzo: Mwananchi_officialView attachment 3365730


HIYO C IPO BOMBA SANA. TUICHAGUE HIYO
 
Iko simple na Smart zaid, inaonyesha alietengeneza ni Expert mzur na ana ile kitu inaitwa ubunifu au talent ndani yake japo si watu wote watavutiwa nayo kwa mara ya kwanza tu ila ni tamu sana asee. We huoni mkuu?

Nimeshakwambia hapo juu kuwa C is bussin. Na ndio maana iko ktk top 3. With due respect binafsi ninaikubali tu sana nembo C. Hata kijana aliyeibuni hiyo is very nice and humble. Atafika mbali. Ila kwa mtazamo wangu (ambao nao ni binafsi), nembo A ndio bora zaidi Mkuu.

Lakini pia, beauty is in the eye of the beholder.

Ndio maana ninaheshimu sana maamuzi yako ya kuchagua C.
 
=LAANA
Neno dini halina shida yoyote kwa sababu neno dini maana yake kuu kabisa ni .....KUJUA MEMA NA MABAYA KISHA KUTENDA MEMA NA KUTOKUTENDA MABAYA ...HIVYO NENO DINI NI SAWA NA NENO HAKI ...ndiyo maana ni rahisi sana kujua dini ya kweli ni ipi ....NI DINI ILE ISIMAMAYO KATIKA HAKI.
 
Nimeshakwambia hapo juu kuwa C is bussin. Na ndio maana iko ktk top 3. With due respect binafsi ninaikubali tu sana nembo C. Hata kijana aliyeibuni hiyo is very nice and humble. Atafika mbali. Ila kwa mtazamo wangu (ambao nao ni binafsi), nembo A ndio bora zaidi Mkuu.

Lakini pia, beauty is in the eye of the beholder.

Ndio maana ninaheshimu sana maamuzi yako ya kuchagua C.
Basi twende na C, badili kampeni😅
 
Ukute na mi ni miongoni mwa waliotengeneza nembo hapo ila wakani skip kwa kuwa sipo uvccm🤣🤣😂😂😂😂

Natania wakuu...
Oya ushachukua kula yangu jombi
 
Ukute na mi ni miongoni mwa waliotengeneza nembo hapo ila wakani skip kwa kuwa sipo uvccm🤣🤣😂😂😂😂

Natania wakuu...
Oya ushachukua kula yangu jombi
‎asante sn mazee.

Mola Muumba akujaalie afya njema wewe na familia yako, umri mrefu pamoja na makuzi mema ya watoto wao. Shukran sn.

Au wewe ni wale wa kataa ndoa?... Natania too.

One Love.
 
‎asante sn mazee.

Mola Muumba akujaalie afya njema wewe na familia yako, umri mrefu pamoja na makuzi mema ya watoto wao. Shukran sn.

Au wewe ni wale wa kataa ndoa?... Natania too.

One Love.
Kataa ndoa mmoja hapa MTA
 
Kwanza yeye ni october wanatiki au NRNE?
Aisee sistaa. Kuna uzi wangu nilipost kuhusu jambo hili nikiwa serious nikashangaa umewekwa jukwaa la chit-chat and jokes. Sasa kukiingiza politiki hapa si ndio nitatupwa ktk bin kabisa Mamaake
 
Back
Top Bottom