HahahahaNyani Ngabu , hii sio uongo ni kweli kabisa. Jioni hii nilikuwa JFK nimeshuhudia live mziki uliokuwepo. Hiyo ban haiwahusua GC holders na legal immigrants wengine waliopo marekani tu. Lakini kwa waliopo nje ndege zote zimeshaambiwa wasichukue watu hao.
Nime-attach picha mkuu. Inaweza kuwa tafsiri yangu haiko sahihi kwakutumia picha hiyo, Hata hivyo toka Jana tulijua Ni zile nchi saba zilizotajwa.Huo ni uongo.
Wapi wamesema yeyote mwenye GC hataruhusiwa tena kuingia Marekani?
Kumbe watu huwa mnasoma vitu bila kuvielewa!
Muongo mkubwa
Mchonganishi ndani ya nchi na ulimwenguni..
Jeuri
Kiburi
Anajitizama mwenyewe - All about him
Je ni mzuri ktk biashara, bado na reserve my judgement !
Green card holders wanaotoka kwenye zile nchi saba wanapaswa ku apply waiver ya hiyo executive action.Nyani Ngabu , hii sio uongo ni kweli kabisa. Jioni hii nilikuwa JFK nimeshuhudia live mziki uliokuwepo. Hiyo ban haiwahusua GC holders na legal immigrants wengine waliopo marekani tu. Lakini kwa waliopo nje ndege zote zimeshaambiwa wasichukue watu hao.
Magu atatoa tamko akitoka Addis Ababa kuwa wakuja wote hapa dar warudi makwao wakalime ili kukabiliana na njaa. teh teh tehI LOVE MY CITY DAR ES SALAAM AND I AM TOTALLY IN LOVE WITH MY BEAUTIFUL AND WONDERFUL HOME SWEET HOME TANZANIA. ..THE ONE AND ONLY. ...have a nice Sunday everyone. ..
Muwe mnasoma na kuelewa.Nime-attach picha mkuu. Inaweza kuwa tafsiri yangu haiko sahihi kwakutumia picha hiyo, Hata hivyo toka Jana tulijua Ni zile nchi saba zilizotajwa.
Leo Kuna Rafiki yetu raia wa Zambia alikuwa vacation nchi Mexico hatujajua itakuwaje maana mkewe katupigia simu wamezuiwa border.
Hujui hata kusoma na kuelewa ukisomacho.We si ndio ulikuwa kiherehere kutetea hilo Nyama trump,fck trump
Hakuna namna nyingine tuendelee kujifariji... Jumapili njemaI LOVE MY CITY DAR ES SALAAM AND I AM TOTALLY IN LOVE WITH MY BEAUTIFUL AND WONDERFUL HOME SWEET HOME TANZANIA. ..THE ONE AND ONLY. ...have a nice Sunday everyone. ..
I LOVE MY CITY DAR ES SALAAM AND I AM TOTALLY IN LOVE WITH MY BEAUTIFUL AND WONDERFUL HOME SWEET HOME TANZANIA. ..THE ONE AND ONLY. ...have a nice Sunday everyone. ..
Green card holders wanaotoka kwenye zile nchi saba wanapaswa ku apply waiver ya hiyo executive action.
Habari za kwamba kila green card holder aliyepo nje ya Marekani kutoruhusiwa kurudi ni ama ni uongo au itakuwa ni matokeo ya sintofahamu iliyoibuka.
Ila kama utanipa source iliyo reliable inayosema kwamba kila green card holder ni marufuku kurudi Marekani, nitashukuru.
Lakini najua huwezi kunipa hiyo source kwa sababu hivyo ilivyodaiwa ni sivyo.
Hahahahaaa, hili tangazo kuna watu tunalipenda sana lije. Haiwezekani nchi yetu ikawa na njaa hali yakuwa wakuja wamejazana kwenye kimji cha wazaramo na kuacha kulima huko.Magu atatoa tamko akitoka Addis Ababa kuwa wakuja wote hapa dar warudi makwao wakalime ili kukabiliana na njaa. teh teh teh
Kumbe umesoma lakini hata hujaelewa nilichokiandika/ ulichokisoma.Sijui unasimamia hoja ya "permanent ban au "temporary ban". Kwa mujibu wa Executive order ambayo imezusha mjadala mkali, green card holders wa nchi hizo ambao hadi Ijumaa walikuwa nje ya US nao wanaingia kwenye 90 days temporary ban subject to substantial screening and further document verification. Ingia hata google kama unataka source ujiridhishe kwani imewekwa hiyo text in full.
Whaaaaaaat! Kumbe wakati mwingine unakuwa mpumbavu hivi? Sasa nani anajadili zuio la immigrants au non immigrants au GC holders kutoka bongo au nchi nyingine zaidi ya hizo?????? Go to hell!Kumbe umesoma lakini hata hujaelewa nilichokiandika/ ulichokisoma.
Nilichobisha mimi ni habari kwamba hiyo order ya Trump inamhusu kila Green Card holder aliyepo nje ya Marekani.
Unaelewa maana ya kila GC holder aliyepo nje ya Marekani?
Na hukuona nilipoandika kwamba GC holder wanaohusika ni hao wa kutoka hizo nchi 7?
Mara nyingi sio zote Green Card zilizopatikana ukiwa ndani ya Marekani huwa zinaambatana na waiver... Sasa wanataka waiver ya Nini tena? Kabla ya hapo unakuwa umeshapeleka hardship ya spouse wako.Muwe mnasoma na kuelewa.
Green card holders wa kutoka hizo nchi 7 wanatakaiwa wapate waiver ya hiyo executive action.
Green card holders wa kutoka Australia na Afrika Kusini, kwa mfano, hiyo executive action na hiyo waiver haziwahusu.
Inasikitisha sana hii KakaKuna mawanafunzi wetu mmoja raia wa Iran alikuwa amekwenda kwenye conference Spain, amezuiwa kurudi; mpaka sasa hivi yuko stranded Barcelona kwa sababu airline imekataa kumruhusu kupanda ndege. Conference ilianza Jumanne na kuisha Alhamis, lakini flight ya kurudi ilikuwa ni leo; amekwama. Wanafunzi wenzake wawili wa kutoka Brazil na China wameondoka na kumwacha Airport akiwa njia panda! very bad!! Aliondoka kukiwa hamna order hii, labda asingekwenda
Sasa povu la nini?Whaaaaaaat! Kumbe wakati mwingine unakuwa mpumbavu hivi? Sasa nani anajadili zuio la immigrants au non immigrants au GC holders kutoka bongo au nchi nyingine zaidi ya hizo?????? Go to hell!
Green Card holders wanaoathirika ni hao wa kutoka hizo nchi 7 zilizopo kwenye orodha.Mara nyingi sio zote Green Card zilizopatikana ukiwa ndani ya Marekani huwa zinaambatana na waiver... Sasa wanataka waiver ya Nini tena? Kabla ya hapo unakuwa umeshapeleka hardship ya spouse wako.
Halafu usisahu ukifika airport Kuna baadhi ya maafisa uhamiaji hawajui matamko haya unayosema. Tunachofanya sisi humu kujiweka tayari kwa lolote na sio kutafuta Nani muongo na Nani mkweli... Halafu kusoma na kuelewa Ni wito ndio maana mnafanya mitihani 45 wanapita 10.