SAYANSIKIMU
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 1,132
- 260
Lazima tukubali ya kwamba lazima mwanzo kabisa kulikuwa na kitu au nguvu iliyo umbika Automatically kutokana na mabadiliko yaliyokuwa yanatokea yenyewe siku hadi siku.
Kutokana na tafiti ndogo nilizo ninadhani mwanzo kabisa kabla ya kuwepo chochote kulikuwa hakuna kitu yaani utupu.
Katika huu utupu kulikuwa na Nguvu au nishati isiyo umbwa ya NISHATI YA BARIDI na umeme na nyinginezo
Kwa hiyo hizi nishati zisizo umbwasiku hadi siku zilikuwa katika hali ya mabadiliko jambo liliko sababisha kuongeza ku umbika kwa nishati au vitu vingine vinavyo umbika vyenyewe kulikuwa na vitu ambavyo vilikuwa vinaumbika AUTOMATIC.
.Na hisi kabisa mwanzo kabisa kulikuwa na utupu katika huo utupu kulikuwa na nishati mbalimbali zilizo kuwepo. Muunganiko wa hizo nishati ulisababisha utokeaji wa viumbe mbalimbali
Mimi mwanzoni kabisa ya ulimwengu kulikuwa kuna utupu. Baada ya utupu kukaa kwa muda mrefu vitu vyenyewe vikaanza kuumbika automatic.

Hizi hadithi wanatakiwa wazisikilize watoto!
hizi ni hadithi sawa sawa na zile tulizo karirishwa kwa kutishwa toka utotoni...za biblia na quaran....ili naona zinafikia ukomo wake baada ya kizazi chetu i.e wajuu zetu
hawataamini huu ujonga
Hizi hadithi wanatakiwa wazisikilize watoto!
Hizi hadithi wanatakiwa wazisikilize watoto!
kweli mkuu. sote tunajua kuwa dunia na vilivyomoalitengeneza jamaa mmoja anaitwa mungu kwa kufinyanga matope.
Unapenda porojo hutaki sayansi.. tungeongea.. kufinyangwa kutoka kwenye udongo wa mfinyanzi na kupuliziwa pumzi.. ungefurahi na kucheka meno yako yote 32 nje
"Sote" ni akina nani hao?
sote mimi na wewe, au wewe haujui hilo?
!
!
mwanzo kulikuwa na utupu.....na katika huo utupu tena palikuwa na nishati??
sawa nimekubali......haya hebu nifafanunulie vizuri kati ya utupu na nishati kipi kilianza?
. .
na huo utupu ulikuwa wapi?