Pamoja na hayo wanawake hawajui kucheza karata zao fresh.
Wanapo date na wanaume hawaangalii huyu mwanaume saizi anahitaji nini. Wenyewe wanazani ukisha watumbukiza dushe na ukimpa visifa vya uongo basi wanazani tayari sasa unaweza kuwa baba.
Huwezi ukadate na mwanaume ambae yeye yupo kwenye muda wa kucheza ukazani ukimletea habari za mtoto atazifurahia hilo no.
Ila nisizunguke sana mimba za miaka hii zinakataliwa kwa sababu ya udangaji wao. Hakuna mwanaume wa kukubari mimba kirahisi wakati aliambiwa Juma is just a friend na John tulisoma nae [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] wanaume wengine tunaonekana washamba hatufuatilii vitu lakin zetu ni za chini chini we utajifanya mjanja sarakasi nyingi kumbe nakuzoom tu....! Siku umejaa unahisi huyu boya ndio wakumuangushia hili jumba bovu.....dada yangu utakacho kutana nacho lazima uimbe ule wimbo wenu wa wanaume wote mbwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]