Uko makao makuu au wamekuhamishia Mtwara afande!?Nani alikuwa na marehemu kabla hajauwawa ambaye wali hesabu wote zile hela?acheni ushabiki wa ajabu ajabu,marehemu alimjeruhi polisi kituoni kwa hasira za gari lake kukamatwa,kisha akaimbilia kwake,alikuwa amelewa na confused,akaenda kwa jirani akakwapua combat,alipoona nyumba imezingirwa akajipiga risasi tumboni,mkewe aliruka na kumkumbatia akimbembeleza asijue,yeye aakmuamrisha mkewe aondoke mara moja ama sivyo atamuuwa,kitendo cha mkewe kumpa nafasi akajiongeza ya pili usoni.Suala la risasi mbili au tatu mwilini sio issue,inategemea amejipiga wapi.Kama angekuwa na matundu mawili ya risasi kichwani then hio ni habari nyingine,lakini tumboni alafu kichwani ni kitu cha kawaida.Mimi sitetei polisi ila tu nawashangaa mnajadili sana bila kuulizia maendeleo ya askari aliyepigwa risasi kadhaa na marehemu,bila shaka angeuwawa polisi mgesema ni sawa
Nani alikuwa na marehemu kabla hajauwawa ambaye wali hesabu wote zile hela?acheni ushabiki wa ajabu ajabu,marehemu alimjeruhi polisi kituoni kwa hasira za gari lake kukamatwa,kisha akaimbilia kwake,alikuwa amelewa na confused,akaenda kwa jirani akakwapua combat,alipoona nyumba imezingirwa akajipiga risasi tumboni,mkewe aliruka na kumkumbatia akimbembeleza asijue,yeye aakmuamrisha mkewe aondoke mara moja ama sivyo atamuuwa,kitendo cha mkewe kumpa nafasi akajiongeza ya pili usoni.Suala la risasi mbili au tatu mwilini sio issue,inategemea amejipiga wapi.Kama angekuwa na matundu mawili ya risasi kichwani then hio ni habari nyingine,lakini tumboni alafu kichwani ni kitu cha kawaida.Mimi sitetei polisi ila tu nawashangaa mnajadili sana bila kuulizia maendeleo ya askari aliyepigwa risasi kadhaa na marehemu,bila shaka angeuwawa polisi mgesema ni sawa
Kwa nini mtu unakaa na cash nyingi hivi nyumbani?? Milioni 300???
Hivi Geita hauna Benki?
Kwa karne hii hufai kufanya hivyo hata kama una hela zimejaa dunia nzima, sehemu ya kutunzia zipo zimejaa tele kwa nini ku - risk?
Ya nini na kwa mahitaji gani uweke 300 ml home?
nakuunga mkono mkuu,hata mimi siweki pesa bank
Kwa nini mtu unakaa na cash nyingi hivi nyumbani?? Milioni 300???
Hivi Geita hauna Benki?
Nani alikuwa na marehemu kabla hajauwawa ambaye wali hesabu wote zile hela?acheni ushabiki wa ajabu ajabu,marehemu alimjeruhi polisi kituoni kwa hasira za gari lake kukamatwa,kisha akaimbilia kwake,alikuwa amelewa na confused,akaenda kwa jirani akakwapua combat,alipoona nyumba imezingirwa akajipiga risasi tumboni,mkewe aliruka na kumkumbatia akimbembeleza asijue,yeye aakmuamrisha mkewe aondoke mara moja ama sivyo atamuuwa,kitendo cha mkewe kumpa nafasi akajiongeza ya pili usoni.Suala la risasi mbili au tatu mwilini sio issue,inategemea amejipiga wapi.Kama angekuwa na matundu mawili ya risasi kichwani then hio ni habari nyingine,lakini tumboni alafu kichwani ni kitu cha kawaida.Mimi sitetei polisi ila tu nawashangaa mnajadili sana bila kuulizia maendeleo ya askari aliyepigwa risasi kadhaa na marehemu,bila shaka angeuwawa polisi mgesema ni sawa
mimi nilitia mashaka taarifa ya polisi ya awali.kwamba aliingia ndani ya nyumba na kuvaa nguo za jeshi za askari aliyekuwa likizo,alijuaje kwenye nyumba hiyo kuna askari aliye likizo na anasare za jeshi?.pili ni kufanya postmoterm kuona alipigwa risasi au alijiua?. Polisi wanatumia rifle na smg na kama alijiua kwa kutumia pistol mapigwa ya risasi ni tofauti.kwa kifupi polisi walimlipua na wananchi simameni kidete kusimamia haki.jamani issue ya kuuwa kwa mwananchi kwa kisa cha kupora pesa yake tena kikifanywa na jeshi la polisi kwa usimamizi wa rpc si la kuleta mizaha eti kwa nini alikuwa na hela yote hiyo nyumbani.
Swala la polisi kuua halafu rpc anawasaidia kutoa statment ya kuwasaidia wauaji eti mfanyabiashara aliamua kujiua eti baada ya kudhani ameua polisi, inakuwaje mtu anayeamua kujiua ajipige risasi mbili sehemu tofauti za mwili yaani tumboni na kichwani na kisha pesa mil.300 zipotee kwa sintofahamu wakati hapakuwa na majambazi?
Na kwa ushahidi wa wazi kuwa rpc amehusika ni pale alipotakiwa kutoa kauli baada ya ndugu wa marehemu kukataa kuzika na kujibu eti anapanga kutoa statment baada ya kujipanga na kupanga uongo leo saa 8 mchana. Hapa inaonekana katika hiyo tsh. 300mil na hivyo lazima adanganye umma.
Ndugu zangu mimi binafsi linapokuja swala la kutegemea wakuu wa mapolisi ma rpc kutoa kauli haraka haraka baada ya matukioa mie huwa siwezi kuamini haraka haraka, kumbukeni wakati wa tukio la ditopile mzuzuri kuuwa konda wa daladala, tibaigana alisema kwamba tiba alisema dito alikuwa anajaribu kupiga piga kioo, pia kumbukeni hadi leo rpc iringa bwana kamhanda hadi leo anakula bata wakati alisimamia mauaji ya mwangosi.
Nani alikuwa na marehemu kabla hajauwawa ambaye wali hesabu wote zile hela?acheni ushabiki wa ajabu ajabu,marehemu alimjeruhi polisi kituoni kwa hasira za gari lake kukamatwa,kisha akaimbilia kwake,alikuwa amelewa na confused,akaenda kwa jirani akakwapua combat,alipoona nyumba imezingirwa akajipiga risasi tumboni,mkewe aliruka na kumkumbatia akimbembeleza asijue,yeye aakmuamrisha mkewe aondoke mara moja ama sivyo atamuuwa,kitendo cha mkewe kumpa nafasi akajiongeza ya pili usoni.Suala la risasi mbili au tatu mwilini sio issue,inategemea amejipiga wapi.Kama angekuwa na matundu mawili ya risasi kichwani then hio ni habari nyingine,lakini tumboni alafu kichwani ni kitu cha kawaida.Mimi sitetei polisi ila tu nawashangaa mnajadili sana bila kuulizia maendeleo ya askari aliyepigwa risasi kadhaa na marehemu,bila shaka angeuwawa polisi mgesema ni sawa
Sio kwa Bank system ya kiTanzania na Network issues. Hata iwe karne gani Tanzania bado tuko nyuma katika masuala ya Banking. Suala sio sehemu za kutunzia pesa Kibweka. Suala ni upatikanaji wa hela yako kwa haraka pindi utakapohitaji kwa emergency au suala la kibiashara.
Kama nilivyoelezea mwanzo Kutokana na aina ya biashara Marehemu aliyokuwa anafanya hakuna cha ajabu kuwa na pesa hiyo karibu. Tatizo letu Watanzania wengi tumezoea kukremu na kucopy mpaka kwenye maisha yetu ya kila siku...wakati system yetu hapa nchini haijafikia huko. Biashara ya madini sio Kama biashara ya kuuza nguo Kariakoo.
Mimi najaribu kuwasaidia ili muelewe kabla ya kuanza kujudge ulimbukeni wa Marehemu.
Kutokana na aina ya biashara aliyokuwa anafanya hakuna cha ajabu hapo. Wafanyabiashara wengi wa madini huwa wanakuwa na pesa Kama hizo au zaidi nje ya mabenki. Ukiletewa mzigo usiku wa milioni 20 utafanyaje na huku mabenki yanakuwa yamefungwa. Mara nyingi hao wauzaji wadogo wadogo wanataka hela hapo hapo hamna habari ya njoo kesho uchukue hela.
Hamna cha ajabu kwa mfanyabiashara wa aina hiyo kuwa na kiasi Kama hicho nyumbani kwake au ofisini. Benki ni wasumbufu sana haswa mikoani...kuna watu wananielewa namaanisha nini hapa.
huna unachomaanisha zaidi ya upuuzi,300m unaweka chumbsni,aingii akilini[/QUOTE]
Kwani mimi ndio niliyekuwa na hiyo Milioni 300 chumbani mpaka mwerevu wewe ukaniona Mpuuzi!?
Yeye Mwenye pesa zake aliona ni busara kuwa nayo chumbani, wewe ni nani kumpangia jinsi ya kutunza pesa zake!?
Hongera mwerevu wewe kwa kutokuingia akilini kwamba karne hii kuna wafanyabiashara wanakuwa na pesa kiasi hicho majumbani.
Itaingiaje akilini kwa mtu Kama wewe ambaye hauna hata Tsh.50,000 kwenye akaunti yako ya benki...Kama unayo hata hiyo akaunti.
Sio kwa Bank system ya kiTanzania na Network issues. Hata iwe karne gani Tanzania bado tuko nyuma katika masuala ya Banking. Suala sio sehemu za kutunzia pesa Kibweka. Suala ni upatikanaji wa hela yako kwa haraka pindi utakapohitaji kwa emergency au suala la kibiashara.
Kama nilivyoelezea mwanzo Kutokana na aina ya biashara Marehemu aliyokuwa anafanya hakuna cha ajabu kuwa na pesa hiyo karibu. Tatizo letu Watanzania wengi tumezoea kukremu na kucopy mpaka kwenye maisha yetu ya kila siku...wakati system yetu hapa nchini haijafikia huko. Biashara ya madini sio Kama biashara ya kuuza nguo Kariakoo.
Mimi najaribu kuwasaidia ili muelewe kabla ya kuanza kujudge ulimbukeni wa Marehemu.
wingu la sintofahamu kuhusu kifo cha mfanyabiashara wa madini aliyedaiwa na polisi kujiua mkoani geita (runzewe) baada ya ndugu wa marehemu kukataa kuuzika mwili wa marehemu mpaka uchunguzi(postmortem)ufanyike na hela zinazokadiriwa 300m alizokuwa nazo nyumbani kwake zilichukuliwa na polisi zipatikane,mwili umekutwa na tundu mbili za risasi kichwani na tumboni kitu kinacholeta wacwac kama kweli alijiua..juhudi za rpc wa geita kuwatisha wazike zimeshindikana na marehemu amekwamia geita hospital
Sio lazima iwe hivyo mkuu. Kuna watu wanajua jinsi ya kuhifadhi hela huwezi hata siku moja kufikiria Kama hizo sehemu mtu anaweza kuweka pesa.Ukivamia kwa muuza uga ama madini mda wowote lazima ukute mzgo wakutosha ndani
Wengi mnaopinga huyo bwana kuwa na kiasi kikubwa cha pesa hamna exposure na biashara za madini. Sehemu za biashara za madini au mipakani watu mara nying huwa wana deal na cash zaidi kwani biashara huwa zinafanyika on cash basis. Nenda Chunya,Tunduru,Mererani,mipaka ya Tunduma,Namanga Kasumulo nk utayaona haya. Mtu kukulipa mil 50 au mil 100 papo hapo si issuehuna unachomaanisha zaidi ya upuuzi,300m unaweka chumbsni,aingii akilini
Kwa nini mtu unakaa na cash nyingi hivi nyumbani?? Milioni 300???
Hivi Geita hauna Benki?