Chanzo cha Mapato kwenye vyama vya siasa

Alblondys

Member
Joined
May 22, 2025
Posts
22
Reaction score
26
Salam wana JF,

Nimekuwa na swali linalonipa maswali Mengi kila Kukicha.
Tukiachana na Michango ya wanachama, Wahisani wa ndani, wafanyabiashara n.k
Je! Vyama vyetu vya Siasa vinapata wapi Pesa zaKujiendeshea?
2: je! Kama Kuna Misaada kutoka mashirika ya Kimataifa; ni % ngapi zinagawiwa.
3: Mpokeaji wa Hizo hela ni Bank ya Taifa kupitia chama tawala, au kila chama kinaingiziwa kwa wakati wake?
4: Je! Malalamiko yanayohusu Haki na Uhuru wa kuchagua kiongozi kwa Raia wake, endapo yakikiukwa ni hatua zipi hawa wahusika wanaotoa pesa wanazichukua?
5: Je! Wao wanapata Faida gani katika kutupatia sisi Developing country pesa za kuendeshea vyama na uchaguzi?

Naomba kulishwa taratibu maana bado nahitaji kushiba vizuri.
 
Chanzo kikubwa cha mapato kwa vyama vya siasa ni michango ya wanachama na wapenzi pia mapato kutokana na miradi km ipo..sidhani inakubalika kupokea msaada wa cash kutoka kwa wahisani na wabia wa maendeleo lbd kupitia mafunzo hiyo inawezekana..
 
Salam wana JF,

Nimekuwa na swali linalonipa maswali Mengi kila Kukicha.
Tukiachana na Michango ya wanachama, Wahisani wa ndani, wafanyabiashara n.k
Je! Vyama vyetu vya Siasa vinapata wapi Pesa zaKujiendeshea?
2: je! Kama Kuna Misaada kutoka mashirika ya Kimataifa; ni % ngapi zinagawiwa.
3: Mpokeaji wa Hizo hela ni Bank ya Taifa kupitia chama tawala, au kila chama kinaingiziwa kwa wakati wake?
4: Je! Malalamiko yanayohusu Haki na Uhuru wa kuchagua kiongozi kwa Raia wake, endapo yakikiukwa ni hatua zipi hawa wahusika wanaotoa pesa wanazichukua?
5: Je! Wao wanapata Faida gani katika kutupatia sisi Developing country pesa za kuendeshea vyama na uchaguzi?

Naomba kulishwa taratibu maana bado nahitaji kushiba vizuri.
2. Misaada interms of cash au vitu vingine..fafanua.
3. Benki ya taifa, unamaanisha benki kuu..? yenyewe si mpokeaji, hao wanaotoa misaada hiyo kwa vyama unawafahamu?
4. Hata bila kutaja watoaji wa misaada lkn inaeleweka kila mtoaji ana masharti yake, si lazima yawe hayo uliyotaja..
5. Faida kwao inaweza kuwa kukuza mahusiano, kuboresha demokrasia na kuimarisha mfumo wa haki kwa wote.
 
Chama kama ccm chanzo chake pekee cha mapato ni wizi wa kodi za walalahoi. Hawana chanzo kingine kwakuwa hakuna mtu anaeweza kuwachangia kwa hiyari hivyo huamua kuiba kodi za walalahoi kuhongana na kununua wapinzani uchwara kama akina Kigaila na Mrema.
 
2. Misaada interms of cash au vitu vingine..fafanua.
3. Benki ya taifa, unamaanisha benki kuu..? yenyewe si mpokeaji, hao wanaotoa misaada hiyo kwa vyama unawafahamu?
4. Hata bila kutaja watoaji wa misaada lkn inaeleweka kila mtoaji ana masharti yake, si lazima yawe hayo uliyotaja..
5. Faida kwao inaweza kuwa kukuza mahusiano, kuboresha demokrasia na kuimarisha mfumo wa haki kwa wote.
Misaada by Cash, Bank ya Taifa namaanisha NMB.
Point no.5 kwamba Mtu au Taasisi fulani ya Nje inachangia lengo mojawapo iwe ni Kukuza Relation tu?
Hebu nipee notes kidogo Nielewe mkuu
 
Back
Top Bottom