Lucky Said
Member
- Jun 14, 2012
- 9
- 0
Jamani wenzangu naomba tusaidiane kitu kimoja,hivi ni kwa nini mabinti na wanawake wengi wamekua na makalio makubwa,na kwa nini iwe siku hizi na isiwe tangu kipindi cha nyuma?
Naomba tusaidiane jamani.
Naomba tusaidiane jamani.