nandembako
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 655
- 528
- Thread starter
-
- #41
Mapenzi ni kujali.... Dawa ni kutafuta mbinu na kujiandaa namna ya kupambana au kupunguza hizo stress, ama sivyo zitakudondosha kiharusi
Nilivyoona ana anza na vitu vya kwenye hiyo para ya tatu nami nikaanza kuotesha mbawa tyr kwa kuruka.... na sikutaka kujua sbb zake mpaka baadae alipokuja kuziainisha
Hutakiwi kujisumbua kwa maswali ambayo majibu anayo mtu mwingine, ama sivyo utapata shinikizo la moyo
Mwenza!Umenikumbusha maria roza[emoji4]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata mimi mwaka wa tatu huu nipo na theodore tu hapa tunakula maisha
Ashakimbia !
Naam mwenza!!Mwenza!
Hahaha sawa anakula Hatujasahau bulubandi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Msalimie Swalehe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha sawa anakula Hatujasahau bulubandi View attachment 1171628
Ahahaha
Msalimie Swalehe
Niite bulubandi sina shida sista[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Itabidi tukuite bulubandi.
Dona au sembe?
Sawa dogo.Ahahaha
Niite bulubandi sina shida sista
Ahahahaha we n mpare mkuu?Makande yalivyomatamu unayafananisha na mwenzio
Ni kweli lakin mambo yakibadilika furaha inageuka kuwa karaha +stress mapenzi n mazuri na n mabaya sana.Hahahha sasa wengi tunaamini au pengine ndivyo ilivyo kuwa mapenzi ndio furaha ya kweli,yaani ukiwa na mpenzi unakuwa na furaha ile yenyewe yaani
Nimeishi sana upareniAhahahaha we n mpare mkuu?
Ndio sababu unapenda makande nasikia wapare wanapenda sana makandeNimeishi sana upareni
..love is serious mental illness, binadamu wote lazima mapenzi yatuathir brain zetu kdogo..
Ni kweli lakin mambo yakibadilika furaha inageuka kuwa karaha +stress mapenzi n mazuri na n mabaya sana.