Chanzo cha kupiga chafya na athari ni nini?

mutu mrefu

Member
Dec 28, 2013
92
23
Habari za jioni wana JF!

Nina tatizo la kupiga chafya mara kwa mara na hili tatizo limenitokea takribani wiki sasa naomba wataalam mnijuze chanzo pia athari zake ni nini?
 
Back
Top Bottom