Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,919
Tatizo halianzia kwenye chakula tu, Kwanza mayai yake hayajatagwa na kuku isipokua ni mbegu tu imepandikizwa na kutotoa kama yai.
Mayai yake yanatagwa na kuku, jaribu kutembelea vituo wanavyozalisha hao vifaranga utawaona hao kuku wazazi wanaotaga mayai (parental stock). Nenda shirika la elimu Kibaha utakuta hao kuku au interchick. Kutokana na gharama za kulea parental stock kuwa kubwa, wengine wanaozalisha vifaranga huagiza mayai kutoka katika mashamba makubwa yaliyo na parental stock wa kutosha.......