Chanzo cha kuku wa kizungu (broilers) ni nini?

Chanzo cha kuku wa kizungu (broilers) ni nini?

Endeleeni kuwa na imani potofu ili wasipande bei. Sisi walaji tuendelee kuwapata kwa bei nzuri...

Tena hawa kuku kwa mchuzi twende, wa kukaanga watamu, na wa kuchoma ndo usiseme kabisa, yaani laiiini!
 
Wale Ni kuku wazuri tu ila tatizo lipo kwenye vyakula wanavyokula.
Unauhakika kuwa hawana wazazi??. Kwa faida yako: in a poultry production line there is commercial stock( the one you keep and eat), parent stock and grant stock. Karagabaho we.
 
Jamani wana JF naomba kujuzwa source ya hawa kuku wa kisasa. Je Ni mayai kweli?Kama Ni mayai yanatagwa Na kuku gani?Nimekuwa nikifikiria hili suala bila ya majibu ya uhakika.Wenye ufahamu Na Hilo please..

Mkuu Mbaya Zaidi Haya MAKUKU YANALISHWA NA MAVIDONGE YA ARVs HILI NIMESHUHUDIA MWENYEWE KWA MACHO YANGU.
 
Gama Mimi ninachoandika nimehakiki Kwa kufuga mwenyewe si Kwa kusoma au kusimuliwa. Wanataga vizuri sana tu na hata majogoo yake huwa yanakuwa makubwa sana. Fanya utafiti kaka
 
Hakuna kiumbe asie na pande mbili baba au mama! Hawa kuku wanavyo virutubisho vyote...tatizo lao ni moja hizi dawa wanazopewa wabongo wanazifaster zaidi ili kupata faida haraka, jambo linalopeleakea kukuwa haraka sana, then linapokuja swala la kumtumia ile dawa inakuwa haijaisha katika mwili wa kuku sasa na inaendelea ku- react katika mwili wa mlaji na hapo ndipo madhara yanapoanzia!
 
nakubaliana nawe mkuu
 
Jaribuni kuumiza vichwa na kusoma sio kila kitu unakuja kulalamika hapa. Wale kuku ni aina tu na wanazaliwa baada ya kukutana kuku jike na dume. Huwezi tengeneza kiumbe hai bila muunganiko wa kibaiolojia ambao ni kujamiiana. Mtoa mada unaonesha huko shallow sana kielimu

elimu inabadilika kila siku ìlo linawezekana. Viumbe hai wanaweza kuzalishwa bila kukutana kimwili.
 
elimu inabadilika kila siku ìlo linawezekana. Viumbe hai wanaweza kuzalishwa bila kukutana kimwili.

jaribu hata ku-google ujisomee inawezekana ila ni kwa kupandisha mbegu ili zikutane na mbegu za kike ndio kiumbe utokea. Kwa mawazo yako unafikiri kuku hao wa kisasa wanatokeaje? Kumbuka hata hao wa kienyeji kuna species tofauti tofauti nchi kama Malawi kuku wao ni tofauti na huku kwetu pia broiler ni aina tofauti ya kuku na ambao kuna broiler wanatengwa kwa ajili ya kuzalisha vifaranga na kuhusu kutotolea mashine hata kuku wa kienyeji, bata na kanga anaweza kuwekewa mayai yake huko akatotoa na vifaranga vikapatikana. Tujisomee jamani elimu hizi zinapatikana mitandaoni for free tu
 
Jaribuni kuumiza vichwa na kusoma sio kila kitu unakuja kulalamika hapa. Wale kuku ni aina tu na wanazaliwa baada ya kukutana kuku jike na dume. Huwezi tengeneza kiumbe hai bila muunganiko wa kibaiolojia ambao ni kujamiiana. Mtoa mada unaonesha huko shallow sana kielimu
Wewe ndio huko shallow kielimu,hebu nieleze kwa hayo mayai maelfu na maelfu ni majogoo wangapi na ni wapi mfano kwa Dar kuna huo mradi wa kutagisha mayai,hata hao broilers kawaida ukimuwekea jogoo,akimpanda mgongo unavunjika,ina maana hayo mayai yanatagwa na kuku tofauti na broiler.Pili jiulize kwa mayai ya kuku ya kiennyeji yakiatamiwa kumi at least 2 yanakosa fertility na hayatotoleki,iweje ya broiler yatotolewqe yote,Na kwa kuku wa mayai iweje vifaranga vyote vitoke jike?
 
jaribu hata ku-google ujisomee inawezekana ila ni kwa kupandisha mbegu ili zikutane na mbegu za kike ndio kiumbe utokea. Kwa mawazo yako unafikiri kuku hao wa kisasa wanatokeaje? Kumbuka hata hao wa kienyeji kuna species tofauti tofauti nchi kama Malawi kuku wao ni tofauti na huku kwetu pia broiler ni aina tofauti ya kuku na ambao kuna broiler wanatengwa kwa ajili ya kuzalisha vifaranga na kuhusu kutotolea mashine hata kuku wa kienyeji, bata na kanga anaweza kuwekewa mayai yake huko akatotoa na vifaranga vikapatikana. Tujisomee jamani elimu hizi zinapatikana mitandaoni for free tu

mkuu elimu inaruhusu nyama kutengenezwa maabara acha kuku.

kuna nadharia nyingi kwenye suala hili, njia ulioainisha likiwa moja wapo. Kwakuwa unakubali inawezekana tupo upande mmoja, ila kuongezea nadharia iliyochukua umaarufu 80-90 inaitambuliwa kwa urahisi kama cloning ambapo hauitaji hata mbegu za baba. Nikikurudisha google uliponipeleka ka_google: cloning "dolly" "sheep".
Usisahau teknolojia hii ni moja inayotegemewa itatuletea askari hodari duniani wakiwa nusu watu nusu mashine.
 
Wale Ni kuku wazuri tu ila tatizo lipo kwenye vyakula wanavyokula.

Tatizo halianzia kwenye chakula tu, Kwanza mayai yake hayajatagwa na kuku isipokua ni mbegu tu imepandikizwa na kutotoa kama yai.
 
Wale Ni kuku wazuri tu ila tatizo lipo kwenye vyakula wanavyokula.

Tatizo halijaanzia kwenye chakula tu, Kwanza mayai yake hayajatagwa na kuku isipokua ni mbegu tu imepandikizwa na kuzalilishwa kwa mashine.
 
Ni mayai ya kawaida tu ya aina hiyo hiyo ya kuku . huwa wanatengwa Kwa ajili kupata vifaranga. pia hao Wa nyama unaweza wacross na kuku Wa kienyeji na wakaadopt kabisa. nimeshawahi kujaribu kuwafuga kienyeji.

Thanks a lot kwa kunifumbua macho. I have to admit ya kwamba sijawahi kusikia kama hili linawezekana. Kwa hiyo hata hawa wa kienyeji pia unaweza kuwalisha chakula hicho tangu wakiwa wadogo na wanakuwa kama hawa mabroilers sio?
 
Nadhani ulitaka kumaanisha upo shallow? Mi mbona sijakukataza kula hao kuku.Hata mimi nilishasema, kibaolojia inapaswa kuwa hivyo, lakini kwa hawa kuku nina shaka. Hivi ulishawahi kuwaona hao kuku jike na kuku dume wakikutana kama usemavyo au ni ushabiki tu?
Hebu tusaidie wewe mwenzetu uliyeumiza kichwa na kusoma kama ulivyojinadi.
 
Hawa kuku ni wazuri xn,me mwnyw nawafug bt kwa mazngira ya kienyej na wanakua wakubwa xn na nnawauza kwa bei kubwa km wakienyej coz wankua hawan tofaut
 
Wewe ndio huko shallow kielimu,hebu nieleze kwa hayo mayai maelfu na maelfu ni majogoo wangapi na ni wapi mfano kwa Dar kuna huo mradi wa kutagisha mayai,hata hao broilers kawaida ukimuwekea jogoo,akimpanda mgongo unavunjika,ina maana hayo mayai yanatagwa na kuku tofauti na broiler.Pili jiulize kwa mayai ya kuku ya kiennyeji yakiatamiwa kumi at least 2 yanakosa fertility na hayatotoleki,iweje ya broiler yatotolewqe yote,Na kwa kuku wa mayai iweje vifaranga vyote vitoke jike?

Huwa kuna parental stock ambao wanakuwa special kwa ajili ya kutaga mayai tu. Kama parental stock ni kwa ajili ya nyama basi mayai ambayo ni makubwa yakishatagwa ndio huwekwa katika mashine tayari kwa kutotolewa. Hii itapelekea kupata vifaranga wakubwa ambao wengi wanakuwa ni majogoo. Na kwa wale wa mayai nao ni hivyo hivyo, lakini si kweli kuwa eti wanatotolewa majike tu. Wakishatotolewa huchaguliwa wale wenye dalili za kuwa majike na ndio huuzwa. Majogoo hutunzwa kwa kuuzwa kama mabroilers.
Nina uzoefu na hii kazi na nimewahi ifanya, hawa broilers hawajatokea tu wana wazazi....
 
Back
Top Bottom