Alivamiwa na watu nyumbani kwake mida ya usiku akapigwa na kuporwa laptop yake. Majeraha yalipelekea kifo chake siku chache baadaye.Chanzo cha kifo ni ugonjwa aliokuwa nao wakati akiwa matibabuni madaktari walishindwa kuokoa maisha yake japo walipigania mpaka dakika ya mwisho..
Naomba jf waifunge hii thread kwa heshima
Wewe ni mpuuzi wa Mwisho mtu avamiwe na majambazi wampige leo we unasema ugonjwa aliokua nao? Unaweza sema alikua na ugonjwa gani? Kaa kimya kama huelewi
kosa la ubongo zwazwa wako linauathiri na mwili wakoMimi namkumbuka kama mwanasiasa na sio mwanazuoni
Pole sanaMimi namkumbuka kama mwanasiasa na sio mwanazuoni
Prof [emoji90]Mkuu umenena..
Dr Bana ndio PUMBAVU la Wanazuoni wa Tanzania.
Elewa maana ya neno kiakademia. Kukurupuka sio kuzuri. Hamna suala la haki hapo ni uhalali wa kitaaluma.Umekosea sana. Hata Msukuma ambaye ni darasa la saba anayo haki, na wala halazimishwi kupita mbali, asizungumzie ujinga wa maprofesa wa kongamano!
Kama faida kwako inapimwa kwa kigezo cha mahaba yako ya kisiasa kweli haitakuwepo.Hakuna faida ya elimu kama ya Bana, ni total loss!
Mungu warehem wote na uwaangamize watesi wao kwa njia utakayochagua wewe
Naomba nikupe clue kwa mbaali juu ya maswali yako ... ila nyamanyama utaongezea mwenyewe ...Huyu alikuwa mmoja ya wasomi waliokuwa wanaaamini katika elimu waliyopata. Ni msomi ambaye ali elimika na si kuishia kuwa na vyeti.
Alifariki South Africa akiwa matibabuni.kifo chake kinahusishwa kwa ukaribu sana na mchakato wa Katiba Mpya. JAMIIFORUMS ni sehemu tuna thubutu kuzungumza.
Nini kilikuwa chanzo halisi, sababu ya kifo cha mwanasheria huyu Dr. S. Mvungi? Je mnakumbuka wasomi wangapi walioamini katika Elimu walikufa kwa sababu ya Kupigania Taifa hili? Mnamkumbuka Dr. J. Mwaikusa? Aliyepigwa risasi?
Tusipo waenzi hawa Tanzania itabakia na watu kama akina Dr. Bana, Prof. Lipumba, Prof. Kitila Mkumbo etc. Ambao ni mzigo na hasara kwa Taifa.
Kama nakumbuka vizuri Dr Mvungi pia aliuawa hapa hapa Dar es Salaam.Huyu alikuwa mmoja ya wasomi waliokuwa wanaaamini katika elimu waliyopata. Ni msomi ambaye ali elimika na si kuishia kuwa na vyeti.
Alifariki South Africa akiwa matibabuni.kifo chake kinahusishwa kwa ukaribu sana na mchakato wa Katiba Mpya. JAMIIFORUMS ni sehemu tuna thubutu kuzungumza.
Nini kilikuwa chanzo halisi, sababu ya kifo cha mwanasheria huyu Dr. S. Mvungi? Je mnakumbuka wasomi wangapi walioamini katika Elimu walikufa kwa sababu ya Kupigania Taifa hili? Mnamkumbuka Dr. J. Mwaikusa? Aliyepigwa risasi?
Tusipo waenzi hawa Tanzania itabakia na watu kama akina Dr. Bana, Prof. Lipumba, Prof. Kitila Mkumbo etc. Ambao ni mzigo na hasara kwa Taifa.
Kwa tafsiri ya ID yako na huyo marehemu ni sawa na umbali wa mbingu na Ardhi.Mimi namkumbuka kama mwanasiasa na sio mwanazuoni
Sema neno moja tu, na roho zao zitaponaMvungiiii
Nimeamini huna ulijualo zaidi ya neno wallah! Huenda umeungwa humu ugange njaa na kuitibu kwa buku saba! Mvungi alivamiwa na wasiojulikana na kukatwaapanga yaliyomsababishia kupoteza damu nyingi acha kupoteza watu! Kama jambo hulijui vyema, usichangie!True walahi
KumbukiziHuyu alikuwa mmoja ya wasomi waliokuwa wanaaamini katika elimu waliyopata. Ni msomi ambaye ali elimika na si kuishia kuwa na vyeti.
Alifariki South Africa akiwa matibabuni.kifo chake kinahusishwa kwa ukaribu sana na mchakato wa Katiba Mpya. JAMIIFORUMS ni sehemu tuna thubutu kuzungumza.
Nini kilikuwa chanzo halisi, sababu ya kifo cha mwanasheria huyu Dr. S. Mvungi? Je mnakumbuka wasomi wangapi walioamini katika Elimu walikufa kwa sababu ya Kupigania Taifa hili? Mnamkumbuka Dr. J. Mwaikusa? Aliyepigwa risasi?
Tusipo waenzi hawa Tanzania itabakia na watu kama akina Dr. Bana, Prof. Lipumba, Prof. Kitila Mkumbo etc. Ambao ni mzigo na hasara kwa Taifa.
Ipo siku.walikuwepo waliokuwa wanakindwa kwa mabunduki ya kisasa,helicopter,na magari yasiyojulikana ni mitambo gani.wakapoteza watu.wakajeruhi watu wakakufuru eti siku moja wataongoza malaika huko kunakotajwa mbinguni.mara kama vile wapo.Ikasemekana wapo wanashughuri,badae tukaambiwa tunasalimiwa.Mwisho wake leo wako wapi?Moyo wangu unalia Hayati mvungi,Hayati chachage,Hayati mwakusa nawapenda sana