Chanzo cha ID nyingi ni nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chanzo cha ID nyingi ni nini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Losambo, Apr 29, 2012.

 1. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wakuu kuna kitu kinanishangaza sana!!!! Mutliple IDs. Hivi chanzo chake nini hasa? Umeshawahi kujiuliza ukapata majibu sahihi?

  Mfano tulikuwa na watu kama Malaria Sugu, FaizaFox, Mwita25 na wengine wengi lakini ghafla hawaonekeni.

  Ukifuatilia unaweza kugundua labda wamebadili ID na tunapishana nao humu humu watu wanauliza wapi Maralia Sugu kumbe yupo na si ajabu akakujibu ila usijue!!!!! Malaria Sugu nimemchukua kama sample tu ila wapo wengi tu, naomba ieleweke hivyo.

  Labda nianze kwa kuweka mchango wangu na kisha wengine mtajazia.

  1.0 Kufahamika mlengo wako na watu kukupuuza hasa kisiasa? Ikiwa hivyo lakini mbona wapo wadau wa CDM na CCM lakini hawajabadili?

  2.0 Kufahamiana live kwa baadhi ya member na kutoa mvuto wa kuchangia maana unahisi kabisa fulani akiona comment yangu atanijua?

  3.0 Kupewa Ban na MoDs za muda mrefu na wakati mtu ameshakuwa adicted na JF?

  4.0.....

  Nini suluhisho lake unahisi?
   
 2. m

  mchukiaufisadi JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 538
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  RASJAH wa PPF, Marinabahati wa PPF na Asiamandu wa PPF walitumika kutengeneza threads hapa JF kwa lengo la kuunda ushahidi wa kumng'oa Mhasibu Mkuu wao, baada ya kazi kukamilika wamekufa kabisa.

  Sio wote waliopotea kwa sababu hapo juu bali "MISSION COMPLETE"
   
 3. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mkuu ID inabidi iwe na idea au element ya going concern, japokuwa sikupingi.
   
Loading...