Hilo Jiwe Mimi nimewahi kufika Mara mbili. Safari ya kwanza tukiwa na wanaoaminika "kuliendesha" na safari nyingine peke yangu tu baada ya wenye nalo kutudengulia.
Lile Jiwe halina maajabu yoyote Yale ya kuweza kuitwa ni kivutio cha Utalii. Jiwe lile liko juu ya Jiwe jingine ambalo lina-act kama Pivot au Fulcrum kiasi kwamba kuna Angle moja ukikaa na kuanza kulitingisha taratibu taratibu u-gain momentum kiasi cha kuweza kuendelea kucheza lenyewe hata baada ya kuachiwa.
Kwa hiyo,kwa Maoni yangu tuachane na kulitangaza jiwe hilo kama kivutio. Sifa tunazolipatia Jiwe hilo na Yale manjonjo wanayofanya wale "wamiliki" wake ni ujanja unja tu. Wanakula pesa za watu tu.