Nrangoo
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 3,420
- 5,488
Hapana siyo FTA channel hiiNi channel no. 331 na ni free on air
Hapana siyo FTA channel hiiNi channel no. 331 na ni free on air
Kwa kifupi hawapo, na nawashauri waiweke DSTV maana iko global kuliko hata hiyo startimes.Sijui sana kuhusu DSTV ila hata wao wanasema ni STAR TIME
Mimi pia wanitagChanel ikiwekwa dstv mnitag.
hao ni watalii wa ndani labdaMtalii gani anayetumia startimes??
Chaneli hii itumie lugha zote kwani ving'amuzi vina uwezo wa kubadili lugha kulingana na hitaji lako.Habari za weekend wana Jf.
Nimeonelea niweke maoni yangu kuhusiana na wazo zuri la televisheni ya Taifa (TBC) Kwa kuuona UMUHIMU uliosahaulika miaka mingi wa kuanzisha Channel maalumu ya kuvitangaza vivutio lukuki vilivyopo hapa nchini.
Mimi binafsi nauona ni uamuzi uliocheleweshwa kwa muda mrefu na kuuleta leo ni jambo si tu jema,bali pia linafurahisha.
Pamoja na wema wa wazo hilo binafsi nimepata tatizo juu ya LUGHA iliyoamuliwa kutumiwa na hii channel. Nilidhania kuwa,kwa vile nia yetu km nchi ni kuitangazia dunia,na huko KISWAHILI ni lugha ngeni kabisa, ni vipi tutaweza kulifikia lengo letu kwa usahihi wake ikiwa tutaendelea kutumia hii lugha yetu?
Je,haingefikirika kwamba pengine tungetumia KIINGEREZA tungeweza kuifikia dunia nzima kwa urahisi zaidi na kwa sababu wataelewa,huenda ikaongeza motivation yao kuja kuviona kwa macho yao hivyo wanavyovisikia kupitia hii Channel yetu?
Zaidi ya yote pia ningependa nitoe ushauri wangu kuwa wahusika wajitahidi kuvifikia vivutio vyote tulivyonavyo hapa nchini. Tanzania vipo vivutio vingi sana lkn sisi ni km tumejielekeza kwenye mbuga za wanyama pekee,jambo ambalo si sahihi sana.
Natoa mfano wa "NYABHULEBHEKA",lililoko Ukara-Ukerewe. Hili ni jiwe kubwa sana linalocheza kwa kuringaringa pale linapoamriwa na wamiliki wake. Wenzetu wakifika pale hawaachi kurudi tena na tena..! Lifikieni mlitangaze pia
Hapo sawazMimi pia wanitaghao ni watalii wa ndani labda
Acha ubishi Kama hujui,hii ni free Mbona we vipi aisee.mm sijalipia startimes muda mrefu lakini tangu ije hii safari channel ni bure kabisa,wapi uko unakochajiwa wewe?Hapana siyo FTA channel hii
Pengine channel hii imewekwa ili kusisimua utalii wa ndani maana hata access yake ni startime tu. Nilidhani tulikuwa tunataka kusisima utalii wa nje ambapo channel hii ingewekwa kwenye channels za TV stations kubwa Duniani na nilitarajia tafsiri pia ingekuwa kwa lugha mbali mbali za kigeni. Lakini kwa sasa sidhani kama itasaidia sana maana hata hao startime hawana audiance kubwa.Habari za weekend wana Jf.
Nimeonelea niweke maoni yangu kuhusiana na wazo zuri la televisheni ya Taifa (TBC) Kwa kuuona UMUHIMU uliosahaulika miaka mingi wa kuanzisha Channel maalumu ya kuvitangaza vivutio lukuki vilivyopo hapa nchini.
Mimi binafsi nauona ni uamuzi uliocheleweshwa kwa muda mrefu na kuuleta leo ni jambo si tu jema,bali pia linafurahisha.
Pamoja na wema wa wazo hilo binafsi nimepata tatizo juu ya LUGHA iliyoamuliwa kutumiwa na hii channel. Nilidhania kuwa,kwa vile nia yetu km nchi ni kuitangazia dunia,na huko KISWAHILI ni lugha ngeni kabisa, ni vipi tutaweza kulifikia lengo letu kwa usahihi wake ikiwa tutaendelea kutumia hii lugha yetu?
Je,haingefikirika kwamba pengine tungetumia KIINGEREZA tungeweza kuifikia dunia nzima kwa urahisi zaidi na kwa sababu wataelewa,huenda ikaongeza motivation yao kuja kuviona kwa macho yao hivyo wanavyovisikia kupitia hii Channel yetu?
Zaidi ya yote pia ningependa nitoe ushauri wangu kuwa wahusika wajitahidi kuvifikia vivutio vyote tulivyonavyo hapa nchini. Tanzania vipo vivutio vingi sana lkn sisi ni km tumejielekeza kwenye mbuga za wanyama pekee,jambo ambalo si sahihi sana.
Natoa mfano wa "NYABHULEBHEKA",lililoko Ukara-Ukerewe. Hili ni jiwe kubwa sana linalocheza kwa kuringaringa pale linapoamriwa na wamiliki wake. Wenzetu wakifika pale hawaachi kurudi tena na tena..! Lifikieni mlitangaze pia
FreeeSijajua kama ni free au ya kulipia ngoja bundle iishe
NI FREE CHANNEL KWASASA NA BADO WANATAKA IWE FREE KWA DECORDER ZA KAMPUNI ZOTE KAMA TBC 1Mkuu hii ni free channel au tunalipia
Ipo....pekua pekua ukikutana na channel imeandikwa "Tanzania FTA" ndio hyo hiyohivi hii channel ipo DSTV?
Basi haina maana....m
Pengine channel hii imewekwa ili kusisimua utalii wa ndani maana hata access yake ni startime tu. Nilidhani tulikuwa tunataka kusisima utalii wa nje ambapo channel hii ingewekwa kwenye channels za TV stations kubwa Duniani na nilitarajia tafsiri pia ingekuwa kwa lugha mbali mbali za kigeni. Lakini kwa sasa sidhani kama itasaidia sana maana hata hao startime hawana audiance kubwa.
Tbc1 ni free king'amuzi gani!?NI FREE CHANNEL KWASASA NA BADO WANATAKA IWE FREE KWA DECORDER ZA KAMPUNI ZOTE KAMA TBC 1
Tanzania FTA iliyopo DSTV ndo TBC1 na ni namba 290. Hii unayoiongelea wewe ni namba ngapi? (achilia mbali imeandikwaje)Ipo....pekua pekua ukikutana na channel imeandikwa "Tanzania FTA" ndio hyo hiyo