Channel Ten wao hawana sattelite channel yao bali walikuwa wanalipia ITV ili waonekane on sattelite. Wamejishtukia wanalipia fedha nyingi sana ITV hivyo wameamua kusimamisha malipo hayo na badala yake, wananunua channel yao wenyewe. Hivyo wote waliokuwa wanaipata on sattelite sasa hawaipati kwa muda ila wanaoangalia local, wao bado wanaipata kama kawaida