CHANNEL TEN wamepotelea wapi?!

Echolima

JF-Expert Member
Oct 28, 2007
3,826
2,057
Nimekuwa mpenzi wa kuangalia Luninga ya CHANNEL TEN lakini ni kipindi sasa kimepita tangu niwapoteze na sijui wanapatikana katika setallite gani ana frequence gani yeyote mwenye kujua wanapatikana kwenye setallite,frequence gani naomba msaada
 
Channel Ten wao hawana sattelite channel yao bali walikuwa wanalipia ITV ili waonekane on sattelite. Wamejishtukia wanalipia fedha nyingi sana ITV hivyo wameamua kusimamisha malipo hayo na badala yake, wananunua channel yao wenyewe. Hivyo wote waliokuwa wanaipata on sattelite sasa hawaipati kwa muda ila wanaoangalia local, wao bado wanaipata kama kawaida
 
Asante kwa taarifa hiyo sasa wataanza kuonekana lini kwa sattelite ipi naomba unifahamishe hiyo local inaonekana vipi kwa nchi nzima kama hawarushi via satellite, vilevile agape (ATN) new frequency ni zipi mwenye taarifa alete habari
 
Channel ten walitangaza kuhama siku nyingi wapo kwenye Sattelite ya TeleStar 10 ipo degree 76.5 east Freq 4006v SR 1011 wamejitenga na wenzao sio rahisi kuwafuata
 
Nimekuwa mpenzi wa kuangalia Luninga ya CHANNEL TEN lakini ni kipindi sasa kimepita tangu niwapoteze na sijui wanapatikana katika setallite gani ana frequence gani yeyote mwenye kujua wanapatikana kwenye setallite,frequence gani naomba msaada
walikuwa wanapatikana online?
 
ITV Nao mbona wamesababisha tukose mambo? Ebu punguzeni garama kidogo.Then nao wawe wanjipanga kwenye suala zima la kujitegemea.
 
Back
Top Bottom