daud magigo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 979
- 425
CCM ongezeni dau,Dr SLAA awe mtangazaji wa STARTV naahamishiwe Mwanza studio za TV kuliko kulipa pesa kila leo.Na Josephine awe tayari kwa kuanza uwekezaji mkubwa baada ya uchanguzi.
Sera ya Ccm serikali mbili,ukawa serikali tatu,polepole kuunga mkono Ccm ni unafiki of the highest orderkipindi kile anatetea serikali 3 na ukawa mnamshangilia alikuwa anasumbuliwa na nini? naona mnasahau haraka kama kondoo
CCM ongezeni dau,Dr SLAA awe mtangazaji wa STARTV naahamishiwe Mwanza studio za TV kuliko kulipa pesa kila leo.Na Josephine awe tayari kwa kuanza uwekezaji mkubwa baada ya uchanguzi.
Duh aiseee nimecheka sana. Huyu jamaa ana profession gani? Kazi yake nje ya huu uchambuzi ni nini?
Duh aiseee nimecheka sana. Huyu jamaa ana profession gani? Kazi yake nje ya huu uchambuzi ni nini?
Inashangaza tv kubwa kama chanel ten eti kila cku wanaleta mtu yuleyule. Tumemchoka leteni na makada wengne mnaboa sana.