King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,827
- 94,986
PolePole Rudisha laki 6 uliyowaibia TYC/NIDA.
Dr atataka viwe viwili pamoja na cha muchumba wake
Yaani kila mtu macho kwa Lowassa tu..kila kukicha ni El El hata huyo Jpm wao nimeshaanza kumsahau
Mbona sura ya pole pole imekomaa vile Ana miaka mingapi???
Yaani kila mtu macho kwa Lowassa tu..kila kukicha ni El El hata huyo Jpm wao nimeshaanza kumsahau
Mkuu unaongelea unyafuzi ujue?:thumbup::thumbup:😀😀
kwani yule jamaa ni kijana?Kati ya vijana waliokwenda mara nyingi kwenye media kumponda lowasa bila ushahidi wowote... Swali je lowasa akimtaja mhusika polepole utajisikiaje?
Huna udhibitisho ni bora ukae kimya maana akiwa raisi utatafuta pakitokea!
Mbona sura ya pole pole imekomaa vile Ana miaka mingapi???
Kweli chadema ni wasahaulifu sana! Kwani umaarufu wenu si ulipatikana kwa kumtajataja sana kwenye ufisadi! List of shame, leo mnashangaa watu kumjadili!! Alhamdulilah!
Inakuwaje Channel 10 inamwalika kwenye kipindi kada wa CCM peke yake? Kwa nini hawa balance kwa kualika wawakilishi wa pande zote? Tukisema Channel 10 inafanya kampeni tutakuwa tunakosea?
Haka kajamaa kumbe kajizi! Laki 6 ilimtoa imani akipewa U DC itakuwaje?PolePole Rudisha laki 6 uliyowaibia TYC/NIDA.
Hahaahahha
Ni shida uDC unamsumbuaa