pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 6,539
- 4,946
swali kwa watumiaji wa zuku.je kuna chaneli inayoonyesha uefa champions league?
Vipi Kwa madish ya fta
Vipi Kwa madish ya fta
tafuta mbc 3 pale uelekeo wa azamtv uefa ni free freq 11192 sr 3210
nimepata nbs uganda
real madrid 2 b.dotmund 0
Sauti kama imegoma hivi au ni king'amuzi changu?
bein sports ndo inayotamba kwa sasa lakini ni kwa cable tu
mkoa gani upo?
Hii ilikuwa zamani sasa hivi walisha block utaona 1-5 za sd hazionyeshi mpira 6-12 za hd mpaka uwe na kadi iliyosajiriwapia kuna bein sports zamani ilikuwa inaitwa aljazeera sport. hapo ni starehe unana ligi ya uingereza spain na italy na german pia
satelaiti?