Channel gani inaonyesha Masomo ya Sheikh Mohamed Idd ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,071
Reaction score
288,569
Kwa miaka mingi sana Sheikh huyu amekuwa akitumia channel 10 kufundisha kuhusiana na masuala ya mwezi mtukufu wa Ramadhani , faida za kufunga na umuhimu wa kufuata maelekezo ya Mtume

Lakini Ramadhan hii simuoni tena , amebadili muda au amebadili channel ?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kwa miaka mingi sana Sheikh huyu amekuwa akitumia channel 10 kufundisha kuhusiana na masuala ya mwezi mtukufu wa Ramadhani , faida za kufunga na umuhimu wa kufuata maelekezo ya Mtume

Lakini Ramadhan hii simuoni tena , amebadili muda au amebadili channel ?[/QUOTE]
nenda kamchek you tube ana mawaidha mengi
 
Kwa miaka mingi sana Sheikh huyu amekuwa akitumia channel 10 kufundisha kuhusiana na masuala ya mwezi mtukufu wa Ramadhani , faida za kufunga na umuhimu wa kufuata maelekezo ya Mtume

Lakini Ramadhan hii simuoni tena , amebadili muda au amebadili channel ?
nenda kamchek you tube ana mawaidha mengi[/QUOTE]
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom