Channel 10 TV ya hovyo

Ile tv nahisi haina mmiliki yan ipo ipo tu......
 
wameambukizwa laana ya albadiri aliyosomewa DAB.
wakati wenzao wote walim-mute DAB, wao walijifanya wajanja kumpa airtime na viewership.
wacha waisome swaini!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…