kuna siku ulikuwa muda wa habari akawa anaonekana mtu anachange station mbali mbali za mizikihii tv huwa naifananisha na kanisa,kila dakika wachungaji wanahubiri,ni tv ya hovyo sana na nadhani hata mishahara hawalipwi,akina chilala kazi kutoa kiki kwa makonda ili apate hela ya kula
hii tv kuna siku mtangazaji alijua yuko offline kumbe hawajamtoa kwenye live, akasikika anasema "jamani panya, panya" kumbe hapo studio limepita bonge la panya yanafukuzana kama bodaboda za uswazi
hii tv huwa naifananisha na kanisa,kila dakika wachungaji wanahubiri,ni tv ya hovyo sana na nadhani hata mishahara hawalipwi,akina chilala kazi kutoa kiki kwa makonda ili apate hela ya kula

NIMECHEKAJE MKUU.hii tv huwa naifananisha na kanisa,kila dakika wachungaji wanahubiri,ni tv ya hovyo sana na nadhani hata mishahara hawalipwi,akina chilala kazi kutoa kiki kwa makonda ili apate hela ya kula
hii tv kuna siku mtangazaji alijua yuko offline kumbe hawajamtoa kwenye live, akasikika anasema "jamani panya, panya" kumbe hapo studio limepita bonge la panya yanafukuzana kama bodaboda za uswazi
hii tv huwa naifananisha na kanisa,kila dakika wachungaji wanahubiri,ni tv ya hovyo sana na nadhani hata mishahara hawalipwi,akina chilala kazi kutoa kiki kwa makonda ili apate hela ya kula
hii tv kuna siku mtangazaji alijua yuko offline kumbe hawajamtoa kwenye live, akasikika anasema "jamani panya, panya" kumbe hapo studio limepita bonge la panya yanafukuzana kama bodaboda za uswazi
Jana niliingia youtube kutizama speech ya Magu kufungua video nikakuta ya channel 10 ila muonekano wake sasa dah kero nikabadilisha hapohapoMiaka buku hawabadiliki.. Clip ya habari imerekodiwa Leo lakini ukiicheki channel 10 ni kama clip ya mwaka 2005 aisee
Lakini the same news report ukiangalia clouds TV, azam news au eatv zipo high quality kama upo live eneo la tukio
mbona etv na efm hakuna hayo na wanashirikiana na makonda?Tokea wameanza kumbeba Bashite balaa la mitambo nalo limeanza. Kuna mambo nilikuwa siyaamini ila kidogo kidogo naanza kuamini, usishirikiane na mwovu aliyelaaniwa waweza kumbebea baadhi ya hizo laana
Tv imejaa wanyakyusa ile sijui ya mbeya....
Kisa mwaipyana, kuna vijana wawili sijui mwaka nani
hahaha,channel ten ni maboga tumbona etv na efm hakuna hayo na wanashirikiana na makonda?
Bavicha mmeanzisha thread wenyewe mnaponda wenyewe kwa id feki