Channel 10 TV ya hovyo

senzighe

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
1,975
1,507
Kwa sasa ni kituo cha ovyo kuliko vyote hapa nchini.Quality ya ovyo.Inaweza ku scractch na kukata picha na sauti mfululizo kwa muda mrefu as if hawana watu wanaoshughulikia ubora wa natangazo yao.Ni kero.Hata magic fm vilevile inaweza kuzima ghafla na kukaa muda nrefu blia kurudi hewani.
 
Miaka buku hawabadiliki.. Clip ya habari imerekodiwa Leo lakini ukiicheki channel 10 ni kama clip ya mwaka 2005 aisee

Lakini the same news report ukiangalia clouds TV, azam news au eatv zipo high quality kama upo live eneo la tukio
 
hii tv huwa naifananisha na kanisa,kila dakika wachungaji wanahubiri,ni tv ya hovyo sana na nadhani hata mishahara hawalipwi,akina chilala kazi kutoa kiki kwa makonda ili apate hela ya kula

hii tv kuna siku mtangazaji alijua yuko offline kumbe hawajamtoa kwenye live, akasikika anasema "jamani panya, panya" kumbe hapo studio limepita bonge la panya yanafukuzana kama bodaboda za uswazi
 
kuna siku ulikuwa muda wa habari akawa anaonekana mtu anachange station mbali mbali za miziki
 
hii tv huwa naifananisha na kanisa,kila dakika wachungaji wanahubiri,ni tv ya hovyo sana na nadhani hata mishahara hawalipwi,akina chilala kazi kutoa kiki kwa makonda ili apate hela ya kula

hii tv kuna siku mtangazaji alijua yuko offline kumbe hawajamtoa kwenye live, akasikika anasema "jamani panya, panya" kumbe hapo studio limepita bonge la panya yanafukuzana kama bodaboda za uswazi
 
hii tv huwa naifananisha na kanisa,kila dakika wachungaji wanahubiri,ni tv ya hovyo sana na nadhani hata mishahara hawalipwi,akina chilala kazi kutoa kiki kwa makonda ili apate hela ya kula

hii tv kuna siku mtangazaji alijua yuko offline kumbe hawajamtoa kwenye live, akasikika anasema "jamani panya, panya" kumbe hapo studio limepita bonge la panya yanafukuzana kama bodaboda za uswazi
NIMECHEKAJE MKUU.
:D:D:D:D
 
inachekesha sana
 
Tokea wameanza kumbeba Bashite balaa la mitambo nalo limeanza. Kuna mambo nilikuwa siyaamini ila kidogo kidogo naanza kuamini, usishirikiane na mwovu aliyelaaniwa waweza kumbebea baadhi ya hizo laana
 
Tv imejaa wanyakyusa ile sijui ya mbeya....
Kisa mwaipyana, kuna vijana wawili sijui mwaka nani
 
  • Thanks
Reactions: a45
Miaka buku hawabadiliki.. Clip ya habari imerekodiwa Leo lakini ukiicheki channel 10 ni kama clip ya mwaka 2005 aisee

Lakini the same news report ukiangalia clouds TV, azam news au eatv zipo high quality kama upo live eneo la tukio
Jana niliingia youtube kutizama speech ya Magu kufungua video nikakuta ya channel 10 ila muonekano wake sasa dah kero nikabadilisha hapohapo

Hawa jamaa wanazingua
 
Tokea wameanza kumbeba Bashite balaa la mitambo nalo limeanza. Kuna mambo nilikuwa siyaamini ila kidogo kidogo naanza kuamini, usishirikiane na mwovu aliyelaaniwa waweza kumbebea baadhi ya hizo laana
mbona etv na efm hakuna hayo na wanashirikiana na makonda?
Bavicha mmeanzisha thread wenyewe mnaponda wenyewe kwa id feki
 
Kama unahitaji kufuatilia taarifa za Tiba mbadala, utabiri wa Nyota, Kupokea Miujiza ya Kiroho, Ulozi na Grace na asili hicho ndo Kituo sahihi..,
 
dah jamani acheni kuiponda tv ya watu. wakati ikifika saa moja kila mtu anagombania remote kuangalia news zao. sio fresh
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom