Chanjo ya kuku ya tatu moja inapatikana wapi kwa Dar es Salaam?

Shukran kupitia Uzi huu nimepata pa kununua chanjo hiyo
IMG-20201213-WA0004.jpg
 
Kuna uwezekano mkubwa wa wahuni kuja na fake ya hii chanjo na kujipigia pesa.

Sababu mahitaji ya hii chanjo ni makubwa kutokana na sifa zake lakini usambazwaji na utangazwaji wake ni hafifu mno.
 
Je chanjo hii inapatikana Mikoani.?
kwa Mbeya naweza kuipata.?
 
Habari,
Naomba kuuliza nimenunua hii chanjo tatu moja na nmechanja kuku 7 baada ya kutumia nkarudisha kwenye friji je naweza tumia tena hii nmenunua kuku wengine 8 je itafanya kazi vzur??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom