kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,678
- 12,094
Rais Magufuli anaposema chanjo za hawa watu weupe hazifai ni hatari muwege mnaelewa.
Rais akisema kitu anazo taarifa zote msidhani amekurupuka.
Hizi chanjo zimeanza kuwapa shida wao wenyewe huko ndio sisi tuchanjwe?
Sisi tule vyakula vyetu vya asili na kumuomba Mungu.
Angalia hii video hapa chini watu chanjo ya corona inavyowasulubu
Magufuli yupo sahihi sana sana,na ni vizuri sana tumepata Rais wa aina hii katika nyakati kama hizi.
Asomae na aelewe,usije sema hukuambiwa mapema.plan zao zimeshindwa na billgate anasema kuna ugonjwa mwingine utalipuka zaidi ya hii covid-19.
Game plan 2030 👇👇👇👇👇👇👇