Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 21,149
- 29,762
Nasikia wamekaa kikao na Minido kujadili chanjo kukosa watu ...nasikia wanataka kuzipeleka zenji naona wameanza propaganda kwa wazanzibar kuwa chanjo walizo choma azikubalikiView attachment 1917561
Na hapo zilikuja zikiwa zimekaribia ku-expire!



...zinatakiwa za J&J 


mother geto na michanjo yake kabuma sasa anawapelekea ndugu zake wazenjibar Wazenjibar kazi kwenu