Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,110
- 2,787
Anayedharau uwezo wa Marekani na Eu bloc kiuchumi na kijeshi apimwe akili.Yaani naangalia watu wanaodharau USA na EU ni matakore kabisa , Misaada ya chanjo kama vile Ndui, Pepopunda , Kifua kikuu , Kifaduru . Pneumonia zote zinatoka kwao na ni misaada ni bure watoto wetu wanapata chanjo free . Angalia hata kwenye bega lako kama huna alama ambayo umechanjwa ili usife halafu unakuja kumdharau Mmarekani . Mkeo akimpeleka mtoto wako clinic kupata chanjo ni ya Wamarekani ili asife . Usisahau hizi ARV za kutuliza ngoma ni za kwao hatulipa hata cent Moja , Yaani miaka ya nyuma kabla ya hizi dawa za kupooza ngoma ulikuwa ukimwona mgonjwa wa ngoma anavyoteseka kukonda , kuharisha mpaka kufariki , Kweli tuwashukuru raia wa Wamarekani kwa Kodi zao wanazotoa ili tupata chanjo na ARVs. Haki yake mpeni .
US , Uk na France wanahangaika na dunia ndo maana kila sehem anatak kushika ,kuhonga na kusikilizwa yeye tu. Unlike China ,Russia na wengi ktk Eu members.Anayedharau uwezo wa Marekani na Eu bloc kiuchumi na kijeshi apimwe akili.
Lakin pia anayedharau uwezo wa Urussi na China kiuchumi na kijeshi Apimwe mkojo..
Hizi Bloc 4 ziheshimishwe duniani
1. US
2. Russia
3.China
4.EU
Tatizo linaanzia hapo
Sijawahi kuona msaada wowote from Russian kwa Afrika , hata kisima kimoja cha $7000Anayedharau uwezo wa Marekani na Eu bloc kiuchumi na kijeshi apimwe akili.
Lakin pia anayedharau uwezo wa Urussi na China kiuchumi na kijeshi Apimwe mkojo..
Hizi Bloc 4 ziheshimishwe duniani
1. US
2. Russia
3.China
4.EU
Tatizo linaanzia hapo
Misaada ni uchawa, Us anawasaidia ili mumtii kaka.Sijawahi kuona msaada wowote from Russian kwa Afrika , hata kisima kimoja cha $7000
Sio uchawa mkuu , tungekuwa tumeshazikana wengi tuu mkuu. Afrika bado sana mkuu .Misaada ni uchawa, Us anawasaidia ili mumtii kaka.
Sera yao ya kimataifa ndo ipo hivyo. Russia litusaidia sana kwenye ukombozi, pia sera yao ya nje haina hizo propaganda za World hegemony . Ndo maana huwaonibwakihangaika mataifa mbalimbali.
Jiulize tu Base ya US Nairobi , Kuwait n.k ninkwa ajili ya nini??
Si kweliSio uchawa mkuu , tungekuwa tumeshazikana wengi tuu mkuu. Afrika bado sana mkuu .
amka wewe Mwafrika shule uliyosoma japo ikusaidie kutafakari mambo ya dunia.....Yaani naangalia watu wanaodharau USA na EU ni matakore kabisa , Misaada ya chanjo kama vile Ndui, Pepopunda , Kifua kikuu , Kifaduru . Pneumonia zote zinatoka kwao na ni misaada ni bure watoto wetu wanapata chanjo free . Angalia hata kwenye bega lako kama huna alama ambayo umechanjwa ili usife halafu unakuja kumdharau Mmarekani . Mkeo akimpeleka mtoto wako clinic kupata chanjo ni ya Wamarekani ili asife . Usisahau hizi ARV za kutuliza ngoma ni za kwao hatulipa hata cent Moja , Yaani miaka ya nyuma kabla ya hizi dawa za kupooza ngoma ulikuwa ukimwona mgonjwa wa ngoma anavyoteseka kukonda , kuharisha mpaka kufariki , Kweli tuwashukuru raia wa Wamarekani kwa Kodi zao wanazotoa ili tupata chanjo na ARVs. Haki yake mpeni .
Misaada ni uchawa, Us anawasaidia ili mumtii kaka.
Sera yao ya kimataifa ndo ipo hivyo. Russia litusaidia sana kwenye ukombozi, pia sera yao ya nje haina hizo propaganda za World hegemony . Ndo maana huwaonibwakihangaika mataifa mbalimbali.
Jiulize tu Base ya US Nairobi , Kuwait n.k ninkwa ajili ya nini??
base zao zipo africa ili kutusaidia kupambana na magaini ya kiislamu ili mataifa yetu yaishi kwaa amani na upendo.
swali lingine tafadhali.
nyiny ndo mnaona hivyo ila urusi na China wanafanya the same like WestUS , Uk na France wanahangaika na dunia ndo maana kila sehem anatak kushika ,kuhonga na kusikilizwa yeye tu. Unlike China ,Russia na wengi ktk Eu members.
👆Yaani naangalia watu wanaodharau USA na EU ni matakore kabisa , Misaada ya chanjo kama vile Ndui, Pepopunda , Kifua kikuu , Kifaduru . Pneumonia zote zinatoka kwao na ni misaada ni bure watoto wetu wanapata chanjo free . Angalia hata kwenye bega lako kama huna alama ambayo umechanjwa ili usife halafu unakuja kumdharau Mmarekani . Mkeo akimpeleka mtoto wako clinic kupata chanjo ni ya Wamarekani ili asife . Usisahau hizi ARV za kutuliza ngoma ni za kwao hatulipa hata cent Moja , Yaani miaka ya nyuma kabla ya hizi dawa za kupooza ngoma ulikuwa ukimwona mgonjwa wa ngoma anavyoteseka kukonda , kuharisha mpaka kufariki , Kweli tuwashukuru raia wa Wamarekani kwa Kodi zao wanazotoa ili tupata chanjo na ARVs. Haki yake mpeni .
Swali ungejiuliza kwanza lilitakiwa Liwe ni nani alietengeneza hivyo virusi ambavyo wanatoa chanjo Yao ya kinafki,,ulishawahi kupitia ugonjwa unaitwa syphilis na ulitengenezwa kuwalenga kina nani? Umewahi kupitia laboratory zinazoitwa P-4 lab,,unajua ni nini kinachofanyika huko? Unajua kwamba Africa nzima hakuna P-4 lab hata Moja? Kingine unajua kwamba corona imetokana na research za Gain of Function ya virus visivyo na hatia vinavyoishi kwenye Koo la popo na mdhamini kifedha wa hizo research alikuwa huyo marekari unaemsifu?
Maskin wa fikra na fikra zenuYaani naangalia watu wanaodharau USA na EU ni matakore kabisa , Misaada ya chanjo kama vile Ndui, Pepopunda , Kifua kikuu , Kifaduru . Pneumonia zote zinatoka kwao na ni misaada ni bure watoto wetu wanapata chanjo free . Angalia hata kwenye bega lako kama huna alama ambayo umechanjwa ili usife halafu unakuja kumdharau Mmarekani . Mkeo akimpeleka mtoto wako clinic kupata chanjo ni ya Wamarekani ili asife . Usisahau hizi ARV za kutuliza ngoma ni za kwao hatulipa hata cent Moja , Yaani miaka ya nyuma kabla ya hizi dawa za kupooza ngoma ulikuwa ukimwona mgonjwa wa ngoma anavyoteseka kukonda , kuharisha mpaka kufariki , Kweli tuwashukuru raia wa Wamarekani kwa Kodi zao wanazotoa ili tupata chanjo na ARVs. Haki yake mpeni .
Mnalilia misaada aibu yenuSijawahi kuona msaada wowote from Russian kwa Afrika , hata kisima kimoja cha $7000
Unajua Proved watu kama hawa ni watu walioharibika akili zao kabisa,I can say zombified already.Si unajua Wizara ya Afya imeunda kitengo cha Afya ya Akili,frankly watu ni Mazombies kabisa.Vitu hivyo ambavyo anasifia Wamarekani wametufanyia, ndivyo hivyo hivyo vilivyomharibu hata yeye mwenyewe akilii mpaka hajitambui,nasikitisha sana.Ni Kama mtu anayesifia uchawi wa mtu aliyemloga!Ni pure Mass Formation Psychosis.👆
Mathanzua pitia hapa...