Changudoa wanaoleka jamani???

Embu tumsaidie jaamaa yetu jamani
Kuna kijana wangu amependena na binti mmoja pale afrikasana..sasa wana muda gani sijui na sitki kujua
sasa amekuwa akiongelea sana maswala ya ndoa jana tukiwa tunafurahi pale breakpoint akasema wazi ana binti anampenda sana yeye ni cd lakini alipoamtmkia yule binti ameacha kwenda pale afriksana na amefikira kuachana na kumpenda jamaa ....ktk mazungumzo binti amesema kabla ya kuoana anaomba wakapime hili ni tatizo lingine kwa mwenzangu anampenda sana lakni anajiuliza huyu binti anamtakia nini akampime..na jana akiwa na simu akatwanga live na kusisitiza wazo lake na binti akusita kutaja masharti yake moja wapo ni hilo la kupima na jamaa amesema ni msichana wa pili kama akisisitiza anakwenda kuachana nae..usiniulize zaidi juu yake.....,Binafsi nilimuuliza unaweza kumtunza cd aliezoea maisha yenye akili kwa kweli nina mfano wa mzungu mmoja rafiki yangu ana mke kaoa kabisa azania na tuliingia asbh mchana arusi kweishna ..wanaishi swafi lakini anachotoa mzungu sijui na yule binti kwa masikitiko aliishia form six na kupata div2..mwenye kutaka ushahdi ruksa tuwasiliane..kale kabinti kalikuwa LAS VEGAS
aliamua kuacha kabisa

Swali je huyu mtanzania mwenzangu atamweza kweli jamaa kama mzungu alivyokula jumla...Je kama mtanzania na exp yako tumpe go ahead ya ndoa??
J5njema

KISWWAHILI CHACKO KINARUKA RUKA KM CHANGU


uyo anaoleka tena inaonekana ana akili sana na ndo mana atak kukupuruka thats y anataka wakapime
ni mwanamke anayejitambua
uyo safi ..CHANGUDOA ANASISITIZA MKAPIME AFU WEWE MTAKATIFU UNAOGOPA KUPIMA....nan changudoa sasa apo?
wakae chn waandikiane M.O.U ....wapime wafany maisha..ni watuliaji since wamaeyachezea sana so no new to em na mchezo wao garantee wa ukweli cz wana uzoefu nao...
njaaa mie ngoja nikapasha kiporo cha wali nazi harage kisamvu peps kwa pemben kitumbo ndiii nilale byeeeeeeeeee!!!!!
 
Jamani tusiwahukumu watu kutokana na kuzalilishwa na ugumu wa maisha. Hao mnaowaita changudoa sidhani kama wamekuwa hiyo kitabia bali ugumu wa maisha ndio umewafikisha hapo walipo. Hawana tofauti na wabeba zege, hakuna anayependa kufanya kazi ya zege ilivyo ngumu lakini ili maisha yasonge mbele hana njia mbadala. Nachotaka kusema, wanaoitwa changudoa ni watanzania wenzetu na wana utu kama kila mmoja wetu alivyo; akipata mtu wa kumweka kwenye njia mbadala ya maisha atatoka huko aliko.


Kwani wateja wao ni kina nani?

Umegonga braza, Changu wako aina mbili, kuna yule afanya kwa shida, huyu aoleka, wengine wafanya kama hobby, yaani hawatosheki na Jamaa mmoja, kwao shida si pesa, hawa hawaoleki!!!!!!
 
Wanaoleka sana tena wanakuwa wake wazuri mno.
Unajua mpaka kufikia hapo sababu zipo nyingi lakini kikubwa ni SHIDA sasa kama atapata raha atatulia
 
Jibu mke mwema kutoka kwa bwana
, , m naona huyu bwana amwombe mungu wake amtaje na jina na urefu wake na unene wa kiuno na ukubwa kiau chake kamaanajua amuulize mungu kama ni wa kutoka kwake ama walewale yaani sio....
Jo
kazi kwako best
 
Kati ya changudoa na mchawi, ni yupi unamuogopa zaidi?
Nimeoa mchawi na maisha yetu ni ya raha mustarehe

Bujibuji unamambo sana mkuu , ni yule dem uliye fumaniwa naye sebuleni kwa baba yake nini?
Kweli huyo atkuwa mwanga !
 
Vipi Michelle( jinsi ya kutamka jina lako sijui, ivi ni kama vile wali bado haujapikwa) upo tayari kuolewa sasa au bado msimamo wako ni kama ulivyosema kwenye thread fulani kuwa hutaki ndoa, maana mimi kwa hiyo avatar kama inaelekeana na wewe ulivyo nipo tayari kukuona kwa upendo kabisa uwe mke wa pili, naamini utanifikiria na hili ombi limeshafika kwa Bi Mkubwa.

Nashukuru sana,wewe ni wa pili kuniona nafaa kuwa mke.........ila uzuri zaidi unapenda niwe mke wako wa pili na umevutwa kwa kuona avatar na sio mimi,jibu langu ni kuwa niko tayari kuolewa nawe......tunaweza zungumzia hili zaidi,asante sana.
 
Nashukuru sana,wewe ni wa pili kuniona nafaa kuwa mke.........ila uzuri zaidi unapenda niwe mke wako wa pili na umevutwa kwa kuona avatar na sio mimi,jibu langu ni kuwa niko tayari kuolewa nawe......tunaweza zungumzia hili zaidi,asante sana.

Nina furaha mno kusikia maneno hayo toka kwako. Ipo kwenye thread mbili hii kitu
 
unaposema 'changudoa' unamaanisha wale wanaoouza live, au hata hawa wanaojifanya 'decent' huku wanagawa bure?

wanaogawa bure hao si machangudoa, machangudoa wako kibiashara zaidi, ngoja nikutafutie jina lao nitarudi kukufahamisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom