Changudoa na jamaa watimuliwa 'uchi' nje ya guest baada ya kushindwa kulipia hela ya chumba


MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,095
Points
2,000
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,095 2,000
CHANGUDOA NA JAMAA WATIMULIWA 'UCHI' NJE YA GUEST BAADA YA KUSHINDWA KULIPIA HELA YA CHUMBA!!!HILI ni tukio la kuchekesha ambalo limetokea mwishoni mwa wiki hii ambapo changudoa pamoja na jamaa yake walipotolewa NJE ya GUESTI UCHI mara baada ya kushindwa kulipia malipo ya siku hiyo.

RIPOTA wetu aliyeshudia mchezo huu ndiye ambaye alitujuza kuhusiana na SKENDO hiyo NZITO ambapo pamoja na kwamba watu hao walikuwa kwenye GUEST hiyo kwa muda mrefu lakini pindi waliposhindwa kulipia ADA yasiku hiyo basi mwenye GUEST hakuwa na jingine zaidi ya kuwaamuru waondoke ndaai ya GUEST hiyo mara ifikapo SAA nne ASUBUHI kama ilivyo ADA katika GUEST nyingi ambazo zipo MJINI.

Mwenye GUEST huyo aliporudi mara ya pili na kuwakuta bado hawajaondoka ndipo alipoamua kuwaitia MWIZI wateja wake hao na mara GHAFLA kundi ka watu walijaa mahali hapo na huku wengi wkiwa na shauku kubwa ya kutaka kujua nini kinaendlea??!!

KITUKO kibwa zaidi kilitokea mara pale wawili hao walipoamua kutimua nje ya GUEST hiyo huku wakiwa watupu kama walivyozaliwa.

Vichko vikubwa vlitawala kati ya umati huo mara pale jamaa huyo kuonekana kung'ang'ania CHANGUDOA huyo kwa madai kuwa hela yake ilikuwa bado haijaisha.


Nddipo wasamalia wema walipokitokeza na kuamua kuwavisha NGUO wote wawili na kuwafikisha kituo cha polisi kwaajili ya MAHOJIANO zaidi....
 
prianka

prianka

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2012
Messages
684
Points
195
Age
27
prianka

prianka

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2012
684 195
acha wakome maana wamezidi kama unajijua huna hela ya nini uwene gest kwa nini msifanyie hata kwenye majani
 
Faru Kabula

Faru Kabula

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Messages
11,789
Points
2,000
Faru Kabula

Faru Kabula

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2009
11,789 2,000
Mbuzi Mzee upo hapo? Hebu tuletee stori itakayofunika zaidi
 
GOOGLE

GOOGLE

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Messages
1,867
Points
2,000
GOOGLE

GOOGLE

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2012
1,867 2,000
Polisi wanaenda kufanyeje sasa.
 
M

Mwanaweja

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Messages
3,577
Points
1,195
M

Mwanaweja

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2011
3,577 1,195
muuuuuuuuu kazi kweli MziziMkavu inatia huruma lakini tuelewe ubinadamu unatoweka kila kunapokucha kila siku, kwa kifupi wanayama IQ zao zinaongezeka na binadamu IQ zetu zinazidi kupungua kila kukicha. Mungu atunusuru na tabia kama hizi
 

Forum statistics

Threads 1,296,632
Members 498,713
Posts 31,254,290
Top