Changia Mabadiliko Chalinze

Asante kwa petro, socrates nimepokea michango yenu...
 
Dah! Pesa yenyewe inaenda kwa Babu anavyojua kujikopesha yule sijui kama zitafika Chalinze maana kidume yule yupo kimipango mipango.
 

Namba unazopiga hazipatikani kwa sasa tafadhali jaribu tena baada ya uchaguzi tar 6
 
Thanks for the acknowledgment of receipt. Nimeona Jina langu orodha ya waliotoa. Nawatakia kila la kheri Chalinze.
 
ahahaha msalani bwana
ndio raha ya utani wa jadi ccm na chadema
ndio raha ya siasa tushindane kwa hoja tuchangiane
mwisho wa siku amani tuitunze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…