Changes CNN new anchors ( New president zucker)

Changes CNN new anchors ( New president zucker)

Ratings za CNN ziko chini sana na ndiyo maana kila baada ya muda fulani wana-shuffle anchors wao na kufuta kabisa baadhi ya vipindi vyao.

Eliot Spitzer's In The Arena - gone. And he is out of CNN too. But I really liked his punditry. I was crestfallen when they yanked him off the air.

John King's USA - gone. Larry King live - gone., D.L. Hughley Breaks the News - gone....and the list is endless.

Ashleigh Banfield alikuwa ana host CNN Early Start sasa hivi ana host CNN Newsrom.....

And I suspect it's just a matter of time before Erin Burnett's OutFront gets cancelled.

For a more balanced perspective, I still watch them all with FOX News being my fav.

Heck, I even watch PBS' NewsHour....

Umesema kweli lakini Fox NEWS ndo umechemsha maana jamaa ni wabaguzi sana tena sana
 
KeIth olberman will soon join CNN .Is it a smart move ? Leo alionekana anatoka Kwenye office ya Zucker CNN .
 
KeIth olberman will soon join CNN .Is it a smart move ? Leo alionekana anatoka Kwenye office ya Zucker CNN .
 
Umesema kweli lakini Fox NEWS ndo umechemsha maana jamaa ni wabaguzi sana tena sana

Fox news only hannity ni conservative waliobakia wote ni journalist waliopiga shule kinoma hapo .glenn beck alipoleta ujinga wake walimtimua.msnbc duh yaani Chris Matthew lost it
 
KeIth olberman will soon join CNN .Is it a smart move ? Leo alionekana anatoka Kwenye office ya Zucker CNN .

What? Why would they want to hire that reject? Everywhere he goes he ****.s up. Is CNN that desperate?
 
Umenikumbusha enzi za CTN na Rahma Aziz
CNN YA KINA Sonia Ruseller na yule mdada aliekuwa wa Havana Beurau chief yupo Aljazeera now i guess
na Riz Khan...dah...

Bila kuwasahau Bernard Shaw na Susan Rook...back then I thought she was uber-hot.
 
Isha Sesay used to be the bomb at CNN.

I admire that Woman!

Alimuumbua Kikwete na maswali kwenye ule mkutano wa WEF Dar es salaam 2010.
 
Soledad out,Anderson cooper ,jack cafferty .Beginning February 2012 Soledad will be replaced (Erin Bunnet),Anderson cooper will be replaced by ( Annie carry).

Wewe unajua name dropping tu.

More like a dog watching TV as far as your English skills are concerned.
 
Bila kuwasahau Bernard Shaw na Susan Rook...back then I thought she was uber-hot.

Unamkumbuka Richard Blystone ..kama nimepatia jina lake..
alikuwa na style ya ku ripoti from London...very unique
 
I used to love ANDERSON COOPER but baada ya kujitangaza kuwa he has been BWABWA for long tym now, nimechoka kabisa!
 
Umenikumbusha enzi za CTN na Rahma Aziz
CNN YA KINA Sonia Ruseller na yule mdada aliekuwa wa Havana Beurau chief yupo Aljazeera now i guess
na Riz Khan...dah...

Havana Bureau Chief alikuwa Lucia Newman, then kulikuwa na manguli wengine kama Sonia Rusler, Ralista Vasileva, Jonathan Mann...bila kumsahau Amanpour!
 
Back
Top Bottom