omary khamis
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 402
- 77
WAakuu naomba kuuliza ni namna gan naweza kubalisha user name yangu???
Nakazia hapoUtaratibu wa kubadilisha jina ni mmoja tu kila mahali, unaenda kwa Wakili unaandika deed poll (change of name) unaenda kuisajili kwa msajili wa hati alafu unaiwasilisha JF.
Ye babaUtaratibu wa kubadilisha jina ni mmoja tu kila mahali, unaenda kwa Wakili unaandika deed poll (change of name) unaenda kuisajili kwa msajili wa hati alafu unaiwasilisha JF.
Ye baba