Change new category- Msaada

Naisoma360

JF-Expert Member
Jan 23, 2015
820
491
Wakuu habari, mara ya kwanza niliomba upande wa Kada ya Afya na Sikuchaguliwa kutokana na Ushindani mkubwa, sasa nimebadili kada na kuomba ualimu, LAKINI wakati nabadili kada "SYSTEM" ikanambia ADDITIONAL PAYMENT MAY APPLY...Lakini baada ya kubadili sikupewa hiyo option ya malipo swali linakuja...

Je, ni lazima ufanye payment au Ukitumia Profile ileile Hakuna malipo tena ingawa nitakuwa nimebadili kada?

Msaada kwa ufafanuzi kidogo...

natanguliza shukrani zangu za dhati..
 
Unatakiwa ufute lile chaguo la ƙwanza na uchague lingine na uipe ualimu first priority..kumɓuka mwisho j2..all the ɓest
 
Back
Top Bottom