changanyikiwa

kuchanganyikiwa kupo, lakini kwa definition ipi?? watu wengi uchukulia kuchanganyikiwa kwa namna tofauti..mfano, wengine ukianza kufanya kinyume na matarajio yao basi watakuona umechanganyikiwa hata kama unachofanya ni sahihi. Kubwa ni kuwa kuna dalili za kuonesha mtu kuelekea kuchanganyikiwi-kama wanakwambia na ukaelewa wanachokwambia basi wewe umeanza kuonesha dalili za awali za kuchanganyikiwa, mfano-labda ulikuwa smart sana, lakini ck hizi umeanza kujiachia, umekuwa mwongeaji kupita kiasi na muda mwingine unavyoongea havina mantiki, umekuwa mgonvi sana, unapenda kujitenga na kukaa pekee yako- izi ni baadhi tu za dalili mbaya. Na kimsingi kwako wewe ni ngumu kuelewa kuwa umeanza kuchanganyikiwa- kwani "KUCHANGANYIKIWA NI HALI YA KUKOSA UWEZO WA KUJITAMBUA WEWE PAMOJA NA MATENDO YAKO" kwa uraisi ni KUKOSA AFYA YA AKILI!- ni vema ukaanza kutafuta "USHAURI NASAHA" KWA WATAALAM WA SAIKOLOJIA KABLA MAMBO HAYAJAWA MABAYA MAANAKE mwisho wake ni kutembea uchi na kuokota makopo-kupoteza dira ya maisha, KAMA NI NDUGUYO MTAFUTIE TIBA MAPEMA SANA! IF YOU CAN C ME PM- kesho kuanzia saa 5:00 asubuhi!

Eti jamami mtu unaweza kuwa umechanganyikiwa
Lakini huhisi au huoni kama umechanganyikiwa??
Kila anayekuzunguka ndugu,jamaa na marafiki wanakwambia your not normal..
lakini we unahisi uko fresh tu...
 
kuchanganyikiwa kupo, lakini kwa definition ipi?? watu wengi uchukulia kuchanganyikiwa kwa namna tofauti..mfano, wengine ukianza kufanya kinyume na matarajio yao basi watakuona umechanganyikiwa hata kama unachofanya ni sahihi. Kubwa ni kuwa kuna dalili za kuonesha mtu kuelekea kuchanganyikiwi-kama wanakwambia na ukaelewa wanachokwambia basi wewe umeanza kuonesha dalili za awali za kuchanganyikiwa, mfano-labda ulikuwa smart sana, lakini ck hizi umeanza kujiachia, umekuwa mwongeaji kupita kiasi na muda mwingine unavyoongea havina mantiki, umekuwa mgonvi sana, unapenda kujitenga na kukaa pekee yako- izi ni baadhi tu za dalili mbaya. Na kimsingi kwako wewe ni ngumu kuelewa kuwa umeanza kuchanganyikiwa- kwani "KUCHANGANYIKIWA NI HALI YA KUKOSA UWEZO WA KUJITAMBUA WEWE PAMOJA NA MATENDO YAKO" kwa uraisi ni KUKOSA AFYA YA AKILI!- ni vema ukaanza kutafuta "USHAURI NASAHA" KWA WATAALAM WA SAIKOLOJIA KABLA MAMBO HAYAJAWA MABAYA MAANAKE mwisho wake ni kutembea uchi na kuokota makopo-kupoteza dira ya maisha, KAMA NI NDUGUYO MTAFUTIE TIBA MAPEMA SANA! IF YOU CAN C ME PM- kesho kuanzia saa 5:00 asubuhi!
Sante sana mkuu
I will take in consideration ur advice...
Thanx again..
 
Back
Top Bottom