changanyikiwa

Inawezekana kabisa.
Wengine hadi chozi linatoka akiulizwa anasema halii yupo normal.
 
Kuchanganyikiwa kila mtu anakutafsiri kivyake,mtu mwingine akianza tu kusali mfululizo utasikia watu wanasema kachanganyikiwa, hata mimi siku hizi niko bize sana na jf naambiwa nimechanganyikiwa,ilimradi wewe mwenyewe unajua uko fiti na mambo yako yanaendelea kama kawaida
 
nakumbuka tulipata ajali,bac mie ndio nakajiona sijaumia na kuanza kuwasaidia kwa nguvu zangu zote nakuanza kuwaonea huruma,watu walipojaa na kutaka kujua yaliyojiri,nikawaambia kwamba peke yangu ndio cjau100 lkn waliobakia ndio kama mnavyowaona hapo,ndipo wakaniambia na ww umeumia hebu uangalie mguu wako,na kweli kujiangalia nusu ya nyama za kigimbi changu inaning'inia
 
Uwezekano ni mkubwa kuwa wao ndiyo wamechanganyikiwa.
Kama mtu amechanganyikiwa haisaidii hata ukimwambia, manake hatakuelewa.
Sasa kama watu wakikuambia kuwa umechanganyikiwa na ukaweza kuwaelewa (hadi kufikia kujiuliza kama ni kweli) basi hujachanganyikiwa wewe. Bali wao ndiyo wamechanganyikiwa na wanajaribu "ku-cry for help"... Wasaidie ili wasizidi kuchanganyikiwa!

Hii ni kama ilivyo kwa Mlevi kumcheka mwenzake kuwa kalewa, kumbe yeye ndiyo amelewa zaidi...

My dear nimechukua muda kidogo kutafakari
ushauri wako
Hivi kweli watu wote hao wanaweza kuwa
wamechanganyikiwa?
 
Love...Hivi ukiniangalia unaonaje nimechanganyikiwa au niko fresh ila kama unaona nimechanganyikiwa itakuwa ni sababu ya yule lawyer.
 
Love...Hivi ukiniangalia unaonaje nimechanganyikiwa au niko fresh ila kama unaona nimechanganyikiwa itakuwa ni sababu ya yule lawyer.

My dear wewe mie nakuona uko fresh tu
ila kuna saa unakuwa umechanganyikiwa
nadhani lol

Hivi kwa nini humpendi lawyer wangu?
 
My dear wewe mie nakuona uko fresh tu
ila kuna saa unakuwa umechanganyikiwa
nadhani lol

Hivi kwa nini humpendi lawyer wangu?
Yaani hela tumlipe wote halafu yeye kazi yake ni kukutetea wewe na kunikandamiza mimi halafu nimekwambia kuwa amekamatwa amemtorosha msichana wa shule
 
Yaani hela tumlipe wote halafu yeye kazi yake ni kukutetea wewe na kunikandamiza mimi halafu nimekwambia kuwa amekamatwa amemtorosha msichana wa shule

Hahaha
mmhhh baba watoto chuki binafsi za nini jamani. .
mbona huyu lawyer mzuri hivi. .
sijawahi poteza kesi hatamoja ..
na hiyo ya msichana wa shule mie hata siamini..
hahaha lol
 
hili suala katika familia zetu za kiswahili inabidi uwe na tahazari nalo kwani kuna possibilities 2

1) umechanganyikiwa kweli.
hii inawezekana kabisa, ukawa umechanganyikiwa lakini wewe unajiona uko normal, hapa hatuongelei kupoteza network kabisa tunaongelea kuchomoka baadhi ya fuse tu. unaweza ukafanya mambo ambayo haueleweki kabisa lakini wewe ukajiona normal. hapa JF ukiperuzi sana utaona watu wa namna hii (mimi simo na ukinitaja naripoti abyuzi)

2) haukuchanganyikiwa lakini umekwenda kinyume na mazoea/utamaduni/ matakwa.
hapa ndio panahitaji umakini, mtu anaweza akakujudge umechanganyikiwa kwakuwa tu uko kinyume na anavyotaka yeye, hii ni very common especial nchi za ulimwengu wa tatu.

ni juu yako kuangalia na kubalance baina ya hizo mbili hapo juu.

kama umefaham gonga senks adhawaizi sikushauri tena.
 
Sante sana mkuu nimekuelewa
lakini we ulikuwa unataka senks zangu tu
Hahaha lol
 
Back
Top Bottom