Habari Wana jamiiforum.
Nawarudisha shule
SWALI,
Nina umri wa miaka 20 sasa na umri wa baba ni mara mbili ya umri wangu. Nikiwa na miaka 50 je baba atakua na miaka mingapi.
Nawakaribisha GREAT THINKERS
Update ya jibu
Haya
Nikiwa na miaka 20 umri wa baba ni 40( mara mbili ya umri wangu)
Nikiwa na miaka 50 baba atakua na miaka mingapi.
Naona wengi wamesolve simple kwa kuzidisha mara mbili , SIO SAWA.
Nikiwa na miaka 20 baba kanizidi miaka 20 then nikiwa na 50 yeye atakua na 50+20=70