Changamoto zinazoikabili Taasisi ya Teknolojia ya Dar (DIT) zinazopelekea ishindwe kuchangia kikamilifu Maendeleo ya Kiuchumi na Kijamii Tanzania

Hapo kuna matatizo ya kiuongozi, bajeti ndogo ya kuendesha chuo na upungufu wa rasilimali watu na haya yanaathiri karibia kila idara ya serikali. Mashine na mitambo ambayo imepitwa na wakati (obsolete technologies) bado zimewekwa kwenye display kwa ajili ya nini! Hakuna chumba ambacho mnaweza kuzihifadhi kwa ajili ya watafiti na wanafunzi wanaohitaji kufanya improvement kwenye hizo technologies kutokana na mazingira zinapolenga kufanya kazi. Vifaa vya kujifunzia vinapokuwa vibovu ni tatizo jingine tena, mwanafunzi ataishia tu kupata nadharia ya namna kifaa kinvyofanya kazi. Tuwekeze zaidi kwenye sayansi na teknolojia na wataalamu wetu kuliko kupoteza pesa nyingi na muda kwenye siasa. Hawa wakuu wa taasisi wanaojifanya miungu watu wamekuwa chanzo cha kushusha morale makazini kwa kufanya unyanyasaji kwa wafanyakazi na kutowalipa stahiki zao kwa wakati na kuwapa motisha mbalimbali.
 
Kwakuwa huwa hatupendi kuambiwa yasiyo ya kutusifia, jiandae kuwindwa, nguvu itatumika kutaka kukujua mtoa taarifa kuliko kushughulikia hizo raised flags.
 
Naunga mkono.

Pia eneo pale mjini ni finyu sana wangepata eneo nje ya mji ingependeza zaidi.
 
Mwandishi anatafuta cheo hapo DIT...

Hii ni power struggle...kapata mwenzio,wewe kitulize!

Haya yote ungeyapeleka kwenye vikao vya chuo vifanyiwe kazi...JF nani atakusaidia kufanya decisions?Wyatt Mathewson?

Pia DIT sio chuo kikongwe,DIT kilikua kisekondari cha ufundi mpaka juzi tu hapo.....

Eti chuo kikongwe wakati ilikua ni sekondari bwana,stop this nonsense!
Inasikitisha yaani na nimekutukana bonge la tusi
Mtu ameandika jambo kwa manufaa ya nchi yetu na watoto wetu wa baadae ajeegemea upande wowote wa kisiasa
Hajamtaja kumpa lawama Magufuli wala CCM
Ametaja matatizo yaliopo yanavyokwamishwa na mkwamishaji mkuu na zaidi ameshauri pia solution ili kuweza kukirudisha chuo kwenye msitari
Nyinyi mmezoea mtu akiandika uozo basi lazima aitupie lawama CCM na Magufuli ili mpate la kusema lakini kiuhalisia wanaomkwamisha ni watendaji wake wenyewe mfano ni kma huyo Principel kichomi
Na bogus kama wewe huwezi kujiringanisha na msomi anaejilelewa alieandaa hii report nondo ilikamilika kila idara mana imekukosesha cha kusema ukaamua kuongea utopolo

Mkuu ulieandaa report hongera sana. tunataka watu wenye uzalendo kama ninyi Mabomu yapo mengi sio DIT tuu natumai mengi yatakuja
 
Kwakuwa huwa hatupendi kuambiwa yasiyo ya kutusifia, jiandae kuwindwa, nguvu itatumika kutak kukujua mtoa taarifa kuliko kushughulikia hizo raised flags..
Na hapa ndipo tunapofeli.

Tunasahau kuwa wakati mwingine mtu unaweza kujifunza kutoka kwa adui yako, kwa kuwa adui yako hana anachokiona kwako ila mapungufu/ madahifu yako, sasa tunatakiwa kuyachukilia hayo madhaifu positive ili tuweze kujirekebisha na sio kutumia nguvu nyingi kujibu mashambulizi.
 
Mwandishi ni wewe,umerudi na ID ingine

Hahahaaaaa...

I know

Tukana tu,free speech,who cares?

Sio Magufuri ni Magufuli,Sio Alishauli ni Alishauri,sio msitari ni Mstari na sio Kujiringanisha ni Kujilinganisha,etc,etc

Kwanza jifunze Kiswahili sahihi,andika kwa dictations sahihi,maana post yako ni cumbersome,lousy and clumsy kusoma!

DIT ni taasisi,kuna vikao maalumu ya kutatua matatizo,hii akapeleka kwenye hivyo vikao,ajenge hoja zi-adoptiwe kama resolutions then wafanye maamuzi kutatua kwendana na kiasi cha mapato waliyonayo....JF sio kikaoni,hakuna decision making power JF has over these problems anko!

Wewe ni mtu wa Mara,I presume,nafikiri unataka kujenga picha kwa jamii kua DIT kuna matatizo sana uongozi wa pale hauwezi kutatua,hivyo viongozi waliopo sasa wapate bad image waondolewe,na I think wewe upo humo humo,then akitolewa yule Chancellor awekwe wewe au mtu unaedhani yupo in line na wewe maslahi yako,whatever that means!

Kila mahali matatizo yapo,na huwezi yamaliza hata uwe kama Mungu,nachodhani uongozi uliopo pale unajaribu kuyatatua kwendana na hela walizonazo,hawawezi fanya zaidi maana budget zao haziruhusu,thats the bottomline

Kilichopo ni kwamba,hii ni kampeni ya kumchafua aliyepo sasa hivi ,ionekane matatizo ni mengi na yamewashinda kutatua.....of which siamini kama huo uongozi ni zero kiasi hicho

Hapa ni kutaka wabadilishwe na Im sure wewe mojawapo wa beneficiaries,ndio maana by my challenge umekua mkali kama tako la mbwa

Tukubaliane,so far DIT hakuna jinai,crime done by the current admin,right?Kungekua na crime yeyote kama wizi,ufujaji,unyanyasaji,etc ungeweka hapa no doubt

Dhumuni la kuweka hii report hapa nilitaka kujua....whats the motive?Kuweka si tatizo sana,nataka kujua motive..maana hii report ingetakiwa wapewe chuo,uifikishe huko waifanyie kazi maana ndio wenye madaraka,nilitaka kujua dhumuni lako hapa JF ni lipi?Tudiscuss tu?Kuonesha umma DIT uongozi umeshindwa?Ambapo dhumuni lako ultimately unataka uongozi utolewe,nadhani uwekwe wewe!Thats the bottomline

Na pia wewe ni liongo sana kusema DIT ni "chuo kikongwe"...Wewe sio muaminifu kwa kudanganya kiasi hiki....DIT ilikua ni just sekondari ya ufundi kama ilivyo Moshi Technical mpaka juzi kikageuzwa chuo duni..mpaka leo ni chuo duni cha engineering....3rd Tier college not 1st tier!

Good luck with your wizi wizi na roho za kisenge namna hii
Haikuwa Secondary, ila ilifanyika Secondary kwa miaka miwili tena A level. At the same time chuo kilikuwa kinaendelea kama kawaida. Mmoja ya watu waliosoma kwa hiyo miaka miwili ya A level ni Prof Mark Mwandosya.
Halafu naona ww ndo Principal mwenyewe umekuja kujitete hapa, acha hizo tabia.
 
Mwandishi ni wewe,umerudi na ID ingine

Hahahaaaaa...

I know

Tukana tu,free speech,who cares?

Sio Magufuri ni Magufuli,Sio Alishauli ni Alishauri,sio msitari ni Mstari na sio Kujiringanisha ni Kujilinganisha,etc,etc

Kwanza jifunze Kiswahili sahihi,andika kwa dictations sahihi,maana post yako ni cumbersome,lousy and clumsy kusoma!

DIT ni taasisi,kuna vikao maalumu ya kutatua matatizo,hii akapeleka kwenye hivyo vikao,ajenge hoja zi-adoptiwe kama resolutions then wafanye maamuzi kutatua kwendana na kiasi cha mapato waliyonayo....JF sio kikaoni,hakuna decision making power JF has over these problems anko!

Wewe ni mtu wa Mara,I presume,nafikiri unataka kujenga picha kwa jamii kua DIT kuna matatizo sana uongozi wa pale hauwezi kutatua,hivyo viongozi waliopo sasa wapate bad image waondolewe,na I think wewe upo humo humo,then akitolewa yule Chancellor awekwe wewe au mtu unaedhani yupo in line na wewe maslahi yako,whatever that means!

Kila mahali matatizo yapo,na huwezi yamaliza hata uwe kama Mungu,nachodhani uongozi uliopo pale unajaribu kuyatatua kwendana na hela walizonazo,hawawezi fanya zaidi maana budget zao haziruhusu,thats the bottomline

Kilichopo ni kwamba,hii ni kampeni ya kumchafua aliyepo sasa hivi ,ionekane matatizo ni mengi na yamewashinda kutatua.....of which siamini kama huo uongozi ni zero kiasi hicho

Hapa ni kutaka wabadilishwe na Im sure wewe mojawapo wa beneficiaries,ndio maana by my challenge umekua mkali kama tako la mbwa

Tukubaliane,so far DIT hakuna jinai,crime done by the current admin,right?Kungekua na crime yeyote kama wizi,ufujaji,unyanyasaji,etc ungeweka hapa no doubt

Dhumuni la kuweka hii report hapa nilitaka kujua....whats the motive?Kuweka si tatizo sana,nataka kujua motive..maana hii report ingetakiwa wapewe chuo,uifikishe huko waifanyie kazi maana ndio wenye madaraka,nilitaka kujua dhumuni lako hapa JF ni lipi?Tudiscuss tu?Kuonesha umma DIT uongozi umeshindwa?Ambapo dhumuni lako ultimately unataka uongozi utolewe,nadhani uwekwe wewe!Thats the bottomline

Na pia wewe ni liongo sana kusema DIT ni "chuo kikongwe"...Wewe sio muaminifu kwa kudanganya kiasi hiki....DIT ilikua ni just sekondari ya ufundi kama ilivyo Moshi Technical mpaka juzi kikageuzwa chuo duni..mpaka leo ni chuo duni cha engineering....3rd Tier college not 1st tier!

Good luck with your wizi wizi na roho za kisenge namna hii
Na inawezekana wewe au baba ni mfanyakazi wa pale, naona imekugusa ilivyo. jiandae kutumbuliwa au mwambie baba ako atafute chuo kingine cha private maisha yaendelee. maana huu uzi lazma umfikie yule jamaa wa kutumbua kwa misifa
 
Mwandishi anatafuta cheo hapo DIT...

Hii ni power struggle...kapata mwenzio,wewe kitulize!

Haya yote ungeyapeleka kwenye vikao vya chuo vifanyiwe kazi...JF nani atakusaidia kufanya decisions?Wyatt Mathewson?

Pia DIT sio chuo kikongwe,DIT kilikua kisekondari cha ufundi mpaka juzi tu hapo.....

Eti chuo kikongwe wakati ilikua ni sekondari bwana,stop this nonsense!
mtu akisema ukwel anatafuta cheo?
 
Summarise kidogo, nilisoma nikasinzia. Halafu Hivi tatizo ni mtu mmoja au jamii nzima ya taasisi hiyo. Mbona wenzenu kama ATC na NIT wanapendeza kila kukicha. Ila jamaa naye ni Nunda, uchafu huu?
 
Kwanza hongera sana kwa kuliona hili.
Haya mambo hata mimi yamenichukiza sana kwa miaka mingi hasa nilipokuwa nakwenda workshop kufanya practicals unakuta vifaa vibovu halafu ni vichache yaani unakuta tuko wanafunzi 30 halafu vifaa viko 6 halafu tunagombania hivyo vifaa ndio ufanye practicals.
Kwa hiyo nilivyoona uzi huu nikafarijika sana.
 
Watu waliosoma jalalani utawajua tu.
Kwani kuna ulazima gani kila mada uchangie kama hazikuhusu si upite tu kuliko kuandika utopolo kwa kukurupuka kama m*l*y aliyefumaniwa
Mwandishi anatafuta cheo hapo DIT.

Back
Top Bottom