mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 7,658
- 9,762
Kwa hiyo na wewe ulijiona ndio umecomment cha maana pale.Topic imekuja public,na mimi ni raia wa public,ninaweza kuchangia ninavyotaka
Kama ulikua hutaki nichangie ungeipeleka private huko!
Naona umepaniki mpaka unatukana to make your soul feel good!
Hahahahaaa
Facts ni facts hata ukitukana hazibadiliki,ni facts!
Unatuletea makala huku JF as if sisi JF tuna executive powers na DIT,nah....wapelekee DIT kwanza,then utuletee
Kapata mmoja wenu hicho cheo,nyie wengine tulizeni matako,zamu zenu zitafika!
Ama kweli naamini kichwa kisicho na akili ni mzigo kwa miguu.
Wewe hukuona aibu comment yako ilikuwa ya ajabu na tofauti na wachangiaji wengine