Changamoto za Spa za Dar es Salaam kwa wafanyakazi

Afanyae uzinzi na kahaba ameungana nae mwili mmoja.
Hakuna kitu kinachotransmitt laana na mikosi kama zinaa.
zaidi ya laana, ukweli ni kwamba, mshahara wa dhambi ni mauti, bali karama ya Mungu ni uzima wa milele kwa njia ya Yesu Kristo Bwana wetu. kinachotokea, ukifanya dhambi ya uzinzi au yeyote, unafungua milango shetani kukufanya chochote, umejitoa mikononi mwa Mungu, Mungu ni mtakatifu wala kilicho kichafu hakiambatani naye, ndio maana anasema tukifanya dhambi mbio tutubu kwa kumaanisha kuziacha ili tuendelee kuwa naye.

uzinzi ni special, kwasababu unapoingiliana mnaunganisha nafsi zenu. hivyo kama mwanamke au mwanaume unayeingiliana naye ana mashetani, ana mikosi,ana malaana jua umeungana nayo kwasababu nafsi yako umeungana naye. Mungu atusaidie. hata hivyo, ukiokoka, Mungu anao uwezo kufuta mikosi na laana zote, Yesu Kristo alikufa kwa ajili ya hilo, Damu ya Yesu Kristo haikumwagika bure, ililipa deni la haya yote. ni uamuzi wa mtu binafsi, abaki na mizigo hii, au ampe Yesu Kristo aitue (kwa njia ya kuokoka).
 
DAY 2 SPA

Hii siku nilipata wateja watatu (mfumo ni ule ule wa kuchaguliwa na mteja). Kazi naifanya vizuri lakini wateja wenyewe ni kwamba wanajua after massage ni sex.. hii kitu niliishangaa sana, maana ni kama vile ndo utaratibu. Kwa mwanzoni nikawa nasema niko MP, basi inaenda fresh.

Nikamuuliza mdada mmoja mfanyakazi, mbona wateja huku wanataka sana sex? Akasema ukitaka condom mwagize XXX akakununulie (XXX ni kijana wa getini huwa anaagizwaga nje pia). Me nkashangaa, nkamwambia why iko hivi? Eti ndo wateja wanavyopenda.. na ukiwagomea sex wanapiga simu ya ofisi kusema hajahudumiwa vizuri na anamtaja aliyemuhudumia.. Duuh.. eti kwa hiyo bora tuu umpe dau lako then mmalizane.. nkaona haya mazito.. nikasema fresh.. nikawaza ile ni ngumu kweli, labda mtu akiask for sex nimtajie hela kubwa ambayo ntamuona hana ili tuwe tumeshindwana kwenye bei.. (Sema hii idea huwezi kuiapply muda wote kiukweli, maana one day kuna mtu alinitajia pesa mwenyewe ilinishangaza )..dah.. sawa. Wakati mwingine nawaambia sina condom, basi.. in short wateja sio wa kuwaendekeza saana maana utatumika daily.. nmewapigisha puli wengi kwa sababu hizo (not free)

Siku moja dada boss kaniambia nichangamke (nilikuwa siongeagi hata) eti hivi na upole huo ushawahi kuchetua kweli? (Kuchetua ndo hiyo kusex na mteja) nkacheka tuu kumpotezea.. but akauliza serious tena, nkamjibu hawajataka duh.. akaitikia tuu lakini akajua nimedanganya maana anajua wateja wake walivyo.

Kuna siku dada boss aliniita nimfanyie massage(hakunitest nilivyofikaga) nkaanza kumfanyia fresh tuu, hapo naanzia miguuni tuu akasema wee kweli unajua. Akaulizia aina za massage nnazozijua, nkamjibu. Akasema basi wafundishe na wale wengine ili tuziweke kwenye menu yetu (pale wanajua tuu full body, body to body na hiyo four hands) basi nkasema fresh. Akatuita kikao kwamba tunapokuwa free nitakuwa nawafundisha aina za massage nlizomtajia na nini.. bas fresh. Akatusisitiza kutoa huduma nzuri, cha ajabu alichonishangaza sasa.. eti, tunafanya massage na pia akitaka sex tunafanya tuu.. hii inatusaida kuwakeep wateja, maana wakienda kwingine hizo huduma zote wanazipata, so tusione aibu maana hapa kila mtu anafanya hivyo (hapo target ilikuwa ni mimi) na siku hizi "mtu anaona kuliko akanunue mwanamke barabarani anaona bora aje massage maana anajua ni uhakika" aisee.. hii kauli hii

Kuna siku mteja alipiga simu ya ofisi mida ya saa tano hivi usiku(simu inapokelewa na mdada yeyote maana maelekezo tunayajua), akaulizia utaratibu akapewa.. akasema nikitaka kulala mpaka asubuhi sh ngapi? Duh! (Tulikuwa tumekaa wote pale hadi na dada boss) so, dada boss alimwambia mdada aliyepokea simu amjibu ni laki moja.. akajibiwa hivyo. Mteja akasema lakini nalala na mtu(yani after massage analala na huyo muhudumu mpaka asubuhi) duh! Nilishangaa pale.. dada boss akasema, ee hiyo hiyo laki moja..Akasema sawa, ntakupigia. Aisee.. nkawa naomba Mungu mteja asije tuu.. maana ile sio poa, yani boss apange bei ya mtu kulala na mteja yaanii.. eeh.. af hapo si ajabu ukapewa 10K. Ile kitu sikuipenda, MUNGU alisaidia mteja hakuja.

Siku ya mwisho kufanya kazi pale ni kuna mambo tulishindwana na boss. Tumeshalala saa nane usiku, kaja kuniamsha (tulikuwa tunaishi pale pale) eti kuna mteja sehemu nimfuate (nikamfanyie huduma kwake yani) hapo me sikuwahi kumfuata mteja wa nje af ndo naanziwa na huyo ya saa nane.. eti mteja kanichagua (alimuonesha picha) ah.. me nikaona hii ngumu kwangu, nikamwambia sitaweza kwenda.. kwanza ni mbali (japo kuna boda) af mida ile kweli,. hapana.. akamind, eti huyu mteja nikimkosa hatutaelewana.. me nkasema siwezi kwenda naogopa, si aje tuu huku yeye.. eti jiandae uende ukisharudi ndo tutajadili hilo swala lako la kuogopa., (ssa niende af ndo nije tujadili aah..) nkaona hapa uongo, me siendi af ndo jibu langu la mwisho. Mind you, hapo naenda kwa ajili ya 10K (malipo ni kwa commission). Alivyoona hivyo, akamcall mteja eti achague mwingine mimi nimeogopa kwenda.. kiukweli mimi siamini kwenye massage za usiku, maana hata wateja wanaokuja kuanzia saa 4+ ni wazinguaji tuu, unakuta mtu anasema direct kwamba anataka sex even before massage yenyewe.

Basi tukawa tumemalizana hiyoo. Asubuhi nikasepa. Japo mdada mmoja alisema nikaongee na boss ili niendelee pale, ila niliona haina maana coz alisema tumeshindwana na me pia kwa namna flani sikutaka kuendelea kuwepo pale.

Anyways, spa za huku jau, yani wahudumu na wateja wanajuana.. and they're all comfortable with what they're doing. Japo kuna wale wenye uhitaji wa massage kweli ile yenyewe. Alikuja mteja mmoja alikuwa anaumwa kweli mgongo, sasa kufika pale akaambiwa, unachagua wa kukuhudumia. Aah.. Mzee wa watu akasema, mimi sina shida ya kuchagua, anayeweza kunifanyia mgongo vizuri aje.. ye akatangulia, nikamuhudumia fresh kabisa..

Kwenye kila kazi kuna changamoto zake, kwa pale ndo hizo but zinavumilika kimtindo ukiwa na moyo mgumu na unajua unachokifanya.. shout-out kwa wateja wangu, maana walikuwa waaminifu kwangu Yani hajawahi kutokea nmemuhudumia mtu, next time akamchagua mdada mwingine japo kuna wateja wengine wa wadada wengine walinichagua pia na kustick na mimi.. aah.. so, that's all.
 
Kwamba wamba hawakufanikiwa kukukula pamoja na kutajiwa dau kubwa??
 
Acha Ujinga mkuu.....!!!
 
homegirl naona unang'ata na kupuliza 🔥🔥🔥
 
Ni katika kutafakari tu, kwamba mwanaume rijali ,mpambanaji unaendaje kushikwashikwa na malaya wa kwenye madanguro?

Babu yangu kijijini kule hakuwahi hata kuzijua huduma kama hizo ,afya yake ilikuwa fit hadi amefikisha zaidi ya miaka 90.

Leo hii mtu katokea mabonde kusimama huko kaja mjini kajitafuta kakamata vipesa basi utamsikia "daaah! leo nimechoka sana Wacha nikapate huduma ya massage" . Hiyo hela ntamtumia mama yangu tu aseeee

Mjini Kuna mambo yake aseee
Brother hizo ni huduma kama huduma nyingine,si kila huduma inayotolewa duniani lazima babu yako aijue,Kuna Aina nyingi za matibabu zinakija kutokana na exposure babu yako hajawahi kuzijua,exposure ni pamoja na kujifunza vitu vipya!!
 
Back
Top Bottom