Changamoto za Private Sector kwenye mfumo wa kiuchumi Tanzania

Silicon Valley

JF-Expert Member
Mar 6, 2012
1,092
1,116
Ninaendelea kuiboresha pole pole kadri nipatapo muda, lakini hoja itahusu yafuatayo :

1. Mtazamo wa jamii kuhusiana na wafanyabiashara sector binafsi.

2. Mfumo wa uchumi kwa ujumla kuhusiana na secta binafsi.

3. Mtazamo wa wanasiasa na serikali kuhusiana na Biashara na secta yote.

4. Mfumo wa Kodi (VAT n.k)na namna ya utozaji wa kodi za kibiashara.

5. Uhalisia wa biashara na mazingira yaliopo dhidi ya mbinu za utathimini ya biashara (mahesabu
yatumikayo)kwa ajili ya kodi na mahitaji mengine ya serikali.

6. Malezi ya wajasriamali ili kuwawezesha kukua toka tabaka la chini(wazalendo) hadi juu na changamoto zake badala ya kudumaa na wakubwa kukomaa zaidi...
 
Back
Top Bottom