Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 4,523
- 3,426
Chadema mara nyingi inapata laana ya Mungu kutokana na asili yao ya ubaguzi kama hivi.....Kuna ushenzi sana chadema uliojifichaSidhani kama CCM watakubali wanasiasa makini wa Upinzani warudi Bungeni, watapendelea akina Aida Khenani na COVID 19 ambao baada ya miaka mitano ya ubunge hakuna alama walioiacha bungeni!
Ndio maana niliamini kuwa CCM walitaka sana Lissu ashinde. Hii kampeni ya " No reform No elections" ndicho wanachotaka. Bila ushiriki wa CDM kutakuwa hata hamna haja ya figisu figisu. Mbowe angewastukia mapema. Angewekeza zaidi katika kukijenga na kujiunganisha chama chake.
Hata Mimi naomba wagome Ili Samia apate mseleleko 😆😆Ndio maana niliamini kuwa CCM walitaka sana Lissu ashinde. Hii kampeni ya " No reform No elections" ndicho wanachotaka. Bila ushiriki wa CDM kutakuwa hata hamna haja ya figisu figisu. Mbowe angewastukia mapema. Angewekeza zaidi katika kukijenga na kujiunganisha chama chake.
Amandla...
Sasa kama una kiri kuwa wanakosea niambie ni mgombea gani wa CCM aliyeenguliwa kwenye uchaguzi kwa kushindwa kujaza fomu?Wapi nimesema kuwa CCM hawakosei? Inaelekea haujasoma au haujaelewa nilicho andika.
Amandla...
Hizi ni kanuni muhimu za Reforms za uchaguzi zinazodaiwa na CHADEMA ambazo serikali ya CCM haizitaki.1. Wenye nia ya kugombea hawanyimwi nafasi ya kurudisha fomu. Njia rahisi ni kuhakikisha ofisi ya msimamizi wa uchaguzi anakuwepo kwenye kituo chake na ofisi inakuwa wazi wakati wote. Na kila mwenye nia asizuiwe kuwasilisha fomu zake.
2. Kuhakikisha kuwa hakuna kuenguliwa kwa sababu za kijinga. Fomu zipelekwe mapema na msimamizi atakiwe kuziidhinisha kuwa zimekamilika na kama mapungufu aya ainisha kabla deadline. Ama pawe na muda wa kisheria wa kurekebisha makosa. Mathlani mwisho wa kupokea fomu ni tarehe fulani na Msimamizi anatakiwa aseme zipi hazijadhi matakwa ndani ya wiki moja na mapungufu yote yaainishwe kwa maandishi na wagombea wapewe wiki moja zaidi ya kufanya marekebisho na kuwasilisha.
3. Kama zitapokewa fomu zaidi ya moja kutoka kwenye chama kimoja, Katibu Mkuu wa Chama husika athibitishe kwa maandishi zipi ni halali. Atakayejulikana kuwa amefoji achukuliwe hatua za kisheria.
4. Kuhakikisha hakuna kuenguliwa bila sababu ya maana.
5. Mawakala wa vyama husika wasaidiwe kuwepo katika vituo vyao. Wananchi wahakikishe vitambulisho vinapatikana mapema na hawazuiwi kuingia katika kituo chao.
6. Maboksi ya kupigia kura yawe transparent na mawakala waruhusiwe kuyapiga picha.
7. Kura zihesabiwe kwa uwazi mbele ya mawakala katika kituo cha kupigia kura. Mawakala wapewe fomu za matokeo na waruhusiwe kuzipiga picha na kuzituma kwa chama chao.
Yote haya yasimamiwe na wananchi.
Amandla...
Huu sasa ni ubishi. Ubishi wa kijiweni. Siko humu kubishana bali kujadiliana. Kwaheri.Sasa kama una kiri kuwa wanakosea niambie ni mgombea gani wa CCM aliyeenguliwa kwenye uchaguzi kwa kushindwa kujaza fomu?
Ni mgombea gani wa CCM ambaye alienguliwa kwenye uchaguzi kwa kushindwa kuwasilisha fomu?
Sidhani kama watapewa mmoja tu. Wanaweza "kupewa" hata thelathini ili Bunge liweze kuendeshwa. Watakuwa na uwezo wa kupiga kelele bila meno.Hizi ni kanuni muhimu za Reforms za uchaguzi zinazodaiwa na CHADEMA ambazo serikali ya CCM haizitaki.
Bila hizo subiri uone uchaguzi Oktoba utakuwaje.
It’s a no win situation for CHADEMA.
Wakienda kwenye uchaguzi Tume kwa maelekezo ya CCM itawapangia wagombea inavyotaka na washindi wa ubunge inavyotaka. CHADEMA wanaweza kupewa mbunge mmoja tu kama ilivyokuwa 2020 au hata 0. Na wananchi wasifanye kitu.
Majority hawajali na wana hofia mabadiliko. Nchi hii bado kuna watu wanakipigia kura chama cha Nyerere.Wasipoenda kwenye uchaguzi, watapuuzwa, uchaguzi utafanyika , watakosa kila kitu. Na wananchi hawatafanya kitu.
Kikubwa itakuwa mtihani kwa Watanzania kama wataendelea kukubali kupuuzwa katika chaguzi au la?
Wanajiingiza wenyewe kwenye mtego. Kwa kutaka kuonekana kuwa wana mapinduzi watawapoteza watu wao makini. Hilo la "pesa za Abduli" linatumika tu kuwachafua wenzao kwa imani kuwa wakibaki wanaowakubali, ajenda yao itafanikiwa.Na CHADEMA watapona na kubakia chama muhimu cha kisiasa au la?
Na ndani ya chama, mgawanyiko unaotokana na tuhuma ya baadhi yao kupokea “pesa za Abduli” utaishia wapi? Maridhiano yatawezekana hapo?
Hilo sio swali jepesi kwa mtu mwenye bias.Huu sasa ni ubishi. Ubishi wa kijiweni. Siko humu kubishana bali kujadiliana. Kwaheri.
Amandla...
AmsterdamWewe wataka uelekezwe na nani?
Hakuna dola duniani itakuacha ufanye uasi. Uasi wenu utaishia kwenye keyboards za JF tuTutaomba ww ukae mbele kutuzuia. Vyombo vya dola vikae pembeni maana kwa sasa hatuna silaha.
Waliposema ... No Election kwa serikali ya CCM ni kama tayari walitishia kuua. Leo wakigeuka na kukubali kushiriki uchaguzi huu watakuwa wamefanya kosa kubwa sana. Watasoteshwa sana. Hii serikali haina ustaarabu kwenye uchaguzi. Historia iko wazi. Kujeruhi, kutesa, kuua, kufunga jela vyote hufanyika inapokuja suala la kulinda madaraka yao.Sidhani kama watapewa mmoja tu. Wanaweza "kupewa" hata thelathini ili Bunge liweze kuendeshwa. Watakuwa na uwezo wa kupiga kelele bila meno.
Majority hawajali na wana hofia mabadiliko. Nchi hii bado kuna watu wanakipigia kura chama cha Nyerere.
Wanajiingiza wenyewe kwenye mtego. Kwa kutaka kuonekana kuwa wana mapinduzi watawapoteza watu wao makini. Hilo la "pesa za Abduli" linatumika tu kuwachafua wenzao kwa imani kuwa wakibaki wanaowakubali, ajenda yao itafanikiwa.
Imani yangu ni kuwa bado CDM ina umuhimu mkubwa katika siasa za nchi yetu. They will come to their sense na kukijenga upya chama chao.
Amandla...
Akili hii akina Tundu hawanaMnataka kumuongezea muda hadi 2028 halafu ndio uchaguzi ufanyike. Mnataka kumpa miaka mitatu ya bure. Akishinda atakuwa amedumu kwa miaka 13 unless mshindi wa uchaguzi huo atawale kwa miaka miwili tu ambapo kama atashinda mwengine atakuwa amepinjwa.
Mimi ninachosema ni kuwa kwa sababu kwa vyovyote vile Rais wa sasa atashinda uchaguzi ujao ( uwe 2025 au 2028) ni bora amalize muda wake 2030 kuliko 2033.
Amandla...
Uko sahihi, lakini NRNE.Hakuna dola duniani itakuacha ufanye uasi. Uasi wenu utaishia kwenye keyboards za JF tu
If we must die.....umenena vyema mkuu umenikumbusha ilo shairi la mwambaWaliposema ... No Election kwa serikali ya CCM ni kama tayari walitishia kuua. Leo wakigeuka na kukubali kushiriki uchaguzi huu watakuwa wamefanya kosa kubwa sana. Watasoteshwa sana. Hii serikali haina ustaarabu kwenye uchaguzi. Historia iko wazi. Kujeruhi, kutesa, kuua, kufunga jela vyote hufanyika inapokuja suala la kulinda madaraka yao.
Ni heri CHADEMA wapotee kwenye kupigania haki kuliko kupotezwa kwa jeuri kunakoendelea. Awamu ya Tano ilibuni mkakati wa kijasiri wa kuimaliza CHADEMA kigaidi. Awamu ya Sita inaendeleza. wameshaanza 2024. Watakamilisha 2025. It is an existential threat. Have no illussion, utawala wa CCM umedhamiria kuiangamiza CHADEMA by all means. They do not want a serious opposition or political dissent in the country.
Umuhimu wa CHADEMA ni pale wananchi wenyewe watakapoamka na kujiunga na mapambano. Kama wananchi hawajali, basi acha CHADEMA ipotee tuendelee kula raha chini ya CCM isiyo na mpinzani. Inachosa sana kutumia nguvu nyingi, jasho na damu kupigania haki za watu. Nafikiri ni watu ma-sadists tu ndio bado wanapenda kuona maafa yanayowakumba baadhi ya watanzania nyakati za chaguzi zetu
PUMBA TUPU….Kuna suala la kusogeza uchaguzi ili mabadiliko yafanyike. Wazo hili ni baya kwa sababu:
1. Itabidi Katiba ibadilishwe ili ipate uhalali. Sidhani kama kuna kipengele cha kusogeza uchaguzi.
2. Utaliongezea muda Bunge ambalo kimsingi lipo lipo tu.
3. Limejikita kuwa chama tawala kitakuwa tayari kufanya mabadiliko ndani ya miaka mitatu. Sidhani kama Mwenyekiti wake kwa vyovyote vile atakuwa tayari kuruhusu uwezekano wa yeye kushindwa uchaguzi. Tena wakati Bunge lote ni la kwao.
Ushauri wangu ni:
1. Uchaguzi ubaki pale pale na CDM waungane na ACT-WAZALENDO katika msimamo wao wa kulinda demokrasia.
2. Kwa vile Rais wa sasa hataweza kugombea tena, atakuwa tayari zaidi kukubali mabadiliko kwa ajili ya uchaguzi wa 2030.
3. Vyama makini vitakuwa na uwakilishi zaidi Bungeni na hivyo kuweza kutoa presha kutoka ndani yake. Serikali haitarudia kosa la chaguzi zilizopita. Vyama vya upinzani vinaweza kushinikiza kuwa mawaziri na watendaji waliohusika katika chaguzi zilizopita wasihusishwe katika uchaguzi wa 2025.
4. Vyama vya upinzani vitapata ruzuku ambayo itawasaidia kujiweka vizuri kwa ajili kuleta mabadiliko kabla ya 2030. Na kisingizio cha muda hautoshi kitakosa mantik.
Amandla...