kichaa tu nsiyo anaweza kuamini kuwa lissu na kiheche chake wanaweza kuzuia uchaguzi maana hakuna mwananchi atakayeandamana kuzuia uchaguziTumeshaamua No reform No election - huwezi kwenda kwa uchaguzi ambao unajua fika hauna macho wala masikio.
Lissu & Heche gari limeshawaka hilo na hii ndiyo agenda kuu ya taifa kwa sasa.
Inashangaza sana eti kukuwa na mabadiliko kutakuwa hakuna amani hii nchi Ina mambo ya kijinga sana sasa babadiliko ya katiba yanaletaje vitaHata mimi sioni wa kukinukisha kwa sasa, lakini hiyo ni lazima itokee.
Ninyi wahuni mwaka huu 2025 hakuna UCHAFUZI. Tutafanya juu chini kuuzuia usifanyike.Ninavyoelewa mimi ni kuwa kama hapatakuwa na mabaliko katika mfumo na utaratibu wa chaguzi zetu basi hapatakuwa na uchaguzi. Kimsingi sio wazo baya ila panahiajika ufafanuzi. Nina mawazo yafuatayo:
1. Nani ataamua kuwa reform zilizofanyika ni za dhati na zitaleta kweli mabadiliko. K.m. zimetangazwa nafasi za wasimamizi wao uchaguzi ila ukiangalia sifa zinazotakiwa ni kuwa ni walewale watarudi ingawa mabadiliko yamefanyika.
2. Nini maana ya "No elections"?
Hii inaweza kutimizwa kama wapiha kura hawatajitokeza. Hii ni ngumu kufanikiwa bila kutumia nguvu ( kuwazuia watu kutoka au kufunga vituo vya kupigoa kura) kwa sababu wako watu wengi tu ambao wangependa kupiga kura na hamna quorum ya uchaguzi.
Namna nyingine ni vyama vyote vya upinzani kugomea uchaguzi. Hili nalo ni ngumu kutimizwa maana kuna vyama vitaona ni fursa kutokana na vyama vikubwa vya upinzani kutoshiriki. Na hamna mahali panaposema kuwa uchaguzi unapoteza uhalali kama vyama fulani havitashiriki.
Mtego mwingine ni wagombea wazuri wa Chadema kukosa nafasi ya kujinadi kwa wananchi kwa sababu sera ya chama chao inasema No Elections. Kwa sababu hiyo hata "reforms " zikifanyika uwezo wa kushinda utapungua. Lakini kwa upande mwingine wanaweza kupata kura zaidi kama shukrani kutoka kwa wananchi kwa kuleta mabadiliko.
3. Chadema itangaze kuwa itajitayarisha kushiriki lakini uamuzi wa kushiriki au kutoshiriki utafanyika baadae.
4. Wakati huo Chadema kifanye juhudi za dhati za kutibu majeraha kwa kuwasikiliza wale wanaoamini hawatendewi haki. Wanaweza kuanza na Njombe kuhakikisha kuwa hakuna anaejiona kuwa ni mtoto wa kambo na mwingine ndio mwana mpendwa.
Wakubali kuwa kuna wanachama hawakubaliani na hii sera kama ambavyo wako ambao hawakukubaliana na sera ya maridhiano. Wawaache tu waongee maana wataweza kuiboresha kutokana na majadiliano hayo. Waache vitisho visio na maana.
Amandla...
Wasichokujua ccm ni ukweli kuwa wakati wa mabadiliko ukifika umefika. Na uzuri madai ya cdm ni ya kweli na haki. Tupeane muda tu itatokea hali wengi wasiyoamini.Inashangaza sana eti kukuwa na mabadiliko kutakuwa hakuna amani hii nchi Ina mambo ya kijinga sana sasa babadiliko ya katiba yanaletaje vita
Wapambe wa Gaddaf, Elbashir, Hosni Mubarak pia walikuwa na cofidence ya hivihivi kama yako. Leo hii yako wapi? Mabadiliko yakifika yamefika. Cdm wana madai ya msingi na ya haki, hayakwepeki kirahisi.kichaa tu nsiyo anaweza kuamini kuwa lissu na kiheche chake wanaweza kuzuia uchaguzi maana hakuna mwananchi atakayeandamana kuzuia uchaguzi
Nazidi kuliombea taifa langu haki ipatikane bila kuvuruga amani Mungu awape busara wang'ang'ania madaraka wajue watakao umizwa ni watu wasio na hatiaWasichokujua ccm ni ukweli kuwa wakati wa mabadiliko ukifika umefika. Na uzuri madai ya cdm ni ya kweli na haki. Tupeane muda tu itatokea hali wengi wasiyoamini.
Ofsa haujaweka suluhu kwenye huo ushauri wako wa kuhusu kulinda Demokrasia.Ushauri wangu ni:
1. Uchaguzi ubaki pale pale na CDM waungane na ACT-WAZALENDO katika msimamo wao wa kulinda demokrasia.
2. Kwa vile Rais wa sasa hataweza kugombea tena, atakuwa tayari zaidi kukubali mabadiliko kwa ajili ya uchaguzi wa 2030.
3. Vyama makini vitakuwa na uwakilishi zaidi Bungeni na hivyo kuweza kutoa presha kutoka ndani yake. Serikali haitarudia kosa la chaguzi zilizopita. Vyama vya upinzani vinaweza kushinikiza kuwa mawaziri na watendaji waliohusika katika chaguzi zilizopita wasihusishwe katika uchaguzi wa 2025.
4. Vyama vya upinzani vitapata ruzuku ambayo itawasaidia kujiweka vizuri kwa ajili kuleta mabadiliko kabla ya 2030. Na kisingizio cha muda hautoshi kitakosa mantik.
Amandla...
Chaguzi za kishenzi lakini nchi ina amani na utulivu. Kuna Kenya wana chaguzi za kistaarabu je wamemaliza matatizo yao na Katiba nzuri? Mbona kama Ruto anawageuza geuza vile anavyotaka??Usitake kuleta upotoshaji wa kijinga. Hakuna popote Lisu anapolazimisha kuwa rais, Lisu anataka chaguzi ziheshimiwe. Hayo mambo ya kutuambia mkewe yuko Belgium na familia yake haiondoi ukweli wa madai yake. Na ukweli ni kuwa chaguzi zetu ni za kishenzi. Hatuko tayari kutawaliwa na ccm kwa shuruti.
Kwani mwaka 2010 na 2015 kwenye uchaguzi mkuu CHADEMA ilishinda wabunge wangapi na madiwani wangapi?Acha propaganda za kipuuzi hapa,Sisi tunachotaka ni kura zetu ziheshimiwe tu(Hakuna kuleta ujanja ujanja kwenye sanduku la kura). Kama ni mshindi ashinde kwa haki hatuangalii nani kashinda,akishinda yeyote yule poa tu.Mshindi akipatikana kwa halali ataheshimu wapiga kura wake kwa kuwajibika kwao na sio sasa mshindi akawajibika kwa hule aliyesababisha ushindi wake wa mchongo.Huneni basi aibu mmeshaiba pesa za kutosha sn ccm fanyeni hayo mabadiliko kwani mnaogopa nini?
Mkifanya reforms hataleta uasi mbona ni kitu simple Sana mkuuChaguzi za kishenzi lakini nchi ina amani na utulivu. Kuna Kenya wana chaguzi za kistaarabu je wamemaliza matatizo yao na Katiba nzuri? Mbona kama Ruto anawageuza geuza vile anavyotaka??
Lissu anaahidi UASI, hatuwezi kukaa kimya bila kukemea kauli hiyo. UASI ni nini? Ni fujo za kisiasa zinazofanya nchi isitawalike. Hatuwezi kuigeuza nchi yetu kuwa ya vikundi vya waasi kama walivyo M23 na FDRL huko DRC.
Acheni kumuunga mkono huyu mtu alyekufa akarudia kwenye mlango wa kaburi
Reforms si ndiyo zile 4R ambazo Rais Samia alianzisha mwaka 2021 mara baada ya kuingia madarakani!! Ila Lissu akaziponda na kuvuruga.Mkifanya reforms hataleta uasi mbona ni kitu simple Sana mkuu
Nishagundua tatizo liko kwako kujivika ukiziwi wala hamna kitu kingineReforms si ndiyo zile 4R ambazo Rais Samia alianzisha mwaka 2021 mara baada ya kuingia madarakani!! Ila Lissu akaziponda na kuvuruga.
Sasa inaleta sense kweli kuanza kumsikiliza Lissu aliyekimbia 4R na kufuata No Elections No Reforms?? Are we serious??
Hatuko tayari kuheshimu chaguzi za kishenzi kwa amani ya uoga. Kwani ni lazima tuongozwe na ccm? Ni kwakuwa tu hatujapata silaha, lakini tukizishika tutafanya wafanyacho M23. Tumechoka kutawaliwa na ccm bila ridhaa zetu. Tunataka chaguzi za haki. Lisu ni mtanzania mwenzetu ana haki ya kuwa kiongozi ndani ya nchi hii, msitake kumfanya kama hana haki ya kuwa kiongozi ndani ya nchi hii.Chaguzi za kishenzi lakini nchi ina amani na utulivu. Kuna Kenya wana chaguzi za kistaarabu je wamemaliza matatizo yao na Katiba nzuri? Mbona kama Ruto anawageuza geuza vile anavyotaka??
Lissu anaahidi UASI, hatuwezi kukaa kimya bila kukemea kauli hiyo. UASI ni nini? Ni fujo za kisiasa zinazofanya nchi isitawalike. Hatuwezi kuigeuza nchi yetu kuwa ya vikundi vya waasi kama walivyo M23 na FDRL huko DRC.
Acheni kumuunga mkono huyu mtu alyekufa akarudia kwenye mlango wa kaburi
4R hizo ni zenu nyie matapeli. Hiki si kizazi cha hizo porojo boss.Reforms si ndiyo zile 4R ambazo Rais Samia alianzisha mwaka 2021 mara baada ya kuingia madarakani!! Ila Lissu akaziponda na kuvuruga.
Sasa inaleta sense kweli kuanza kumsikiliza Lissu aliyekimbia 4R na kufuata No Elections No Reforms?? Are we serious??
1. Wenye nia ya kugombea hawanyimwi nafasi ya kurudisha fomu. Njia rahisi ni kuhakikisha ofisi ya msimamizi wa uchaguzi anakuwepo kwenye kituo chake na ofisi inakuwa wazi wakati wote. Na kila mwenye nia asizuiwe kuwasilisha fomu zake.Ofsa haujaweka suluhu kwenye huo ushauri wako wa kuhusu kulinda Demokrasia.
Hujatueleza kulinda Demokrasia ni pamoja na kufanya nini?
Yani ni mambo gani ambayo ukiyaona Chadema wameyafanya yatatoa tafsiri kuwa Demokrasia imelindwa?
Na unailinda dhidi ya nani ambaye anahatarisha kuivuruga hiyo Demokrasia?
Niingie barabara kisa ujinga wenu wa kukataa kufanya kitu kidogo tu kama hicho(reforms).Mbona 2024 mlifanya ujinga tena?,ni mjinga na fala pekee ndiyo atashirikii uchaguzi wa kihuni na wa kipumbafu(kuwapa maelekezo walimu na mapolisi),nyie bakini tu madarakani muendelee kuiba mbona haina shida.Si tutaendelea kukomaa kutafuta pesa ya halali.Tunayajua yote yanayofanyika kwenye vyumba vya kupigia kura nishawahi kusimamia hizo chaguzi ndiyo mana nayaongea.Kwani mwaka 2010 na 2015 kwenye uchaguzi mkuu CHADEMA ilishinda wabunge wangapi na madiwani wangapi?
Sote tunajuwa UHAYAWANI uliofanywa na Mwendazake mwaka 2020. Na pengine ndiyo maana Mungu kamtanguliza ahera.
Kwa nini nyinyi mlidharau 4R za Samia ambazo zililenga maridhiano?? Tundu kabeza maridhiano sasa anataka kuingia IKULU kwa UASI.???
Ingieni barabarani wakati Lissu anamfuata mumewe Amsterdam huko Belgium ndiyo mtajuwa kuwa maharage ni mboga na kutafunwa pia
Tusubiri Oktoba tuone kama kuna sisimizi yeyote atathubutu. Damn key board warriors!!Nishagundua tatizo liko kwako kujivika ukiziwi wala hamna kitu kingine
Inashangaza sana eti kubadili mifumo ya uchaguzi kutaleta Vita sasa hapo Vita inakujaje eti mkuu?
Nijibu kwanza, hivi mnamuona Lissu ana akili sawa ya kuongoza watu?Mkifanya reforms hataleta uasi mbona ni kitu simple Sana mkuu
Kwa hiyo kubadili mifumo ya uchaguzi ndiyo tuelekezwe na Tundu??Nishagundua tatizo liko kwako kujivika ukiziwi wala hamna kitu kingine
Inashangaza sana eti kubadili mifumo ya uchaguzi kutaleta Vita sasa hapo Vita inakujaje eti mkuu?